Ulaji Wa vikanyagio vya kuku

beevenom

JF-Expert Member
May 1, 2017
313
432
Kwa kweli wapendwa hata kama ni hamu ya kula Kuku sio kwa style ya kula vikanyagio vya Kuku. Wana Dar es salaam hata kama maisha magumu kuleni japo dagaa ni mbadala mzuri tu Wa protini halafu kibaya zaidi Kuku wenyewe ni hawa matahira "in shekh kipoozeo voice ". Nahitimisha kwa kuwaasa mbadilike wandugu hawa wanamme
IMG-20170516-WA0005.jpg
 
Utamu wa ngoma ingia uicheze, huku dar kuna kitu inaitwa "dagaa mchele"
je wewe wa mkoani wawajua ?? watu dar twala utumbo wa kuku na bata.

Kwa kweli wapendwa hata kama ni hamu ya kula Kuku sio kwa style ya kula vikanyagio vya Kuku. Wana Dar es salaam hata kama maisha magumu kuleni japo dagaa ni mbadala mzuri tu Wa protini halafu kibaya zaidi Kuku wenyewe ni hawa matahira "in shekh kipoozeo voice ". Nahitimisha kwa kuwaasa mbadilike wandugu hawa wanamme View attachment 509946

upload_2017-5-16_12-37-36.jpeg
upload_2017-5-16_12-38-38.jpeg
 
Kwenye mitaa ninapokaa kuna mmaza kaamia anapika supu ya hiyo miguu yani asubuhi na jioni utaona tu watu wanapita na mahotpot kwenda kwake. Leo itabidi nipite nipate angalau bakuri moja
 
nahisi hata utumbo wa nguruwe wanatupia, hawa watu wa dar si wa mchezo:D
 
Yaani ili tu uonekane umekula kuku! Kha! ngoja nikasake senene
 
Hiyo ndo Dar es salaam bwaana,mbwembwe nyingi uhakika Wa kula na kulala chenga tupu,Dar ni pazuri endapo una uchumi uliotengaa kinyume na hapo ni mvurugano sana,mafuriko ,foleni,joto,nyumba shida daaaah kweli mi huenda chap nikiwa na shida ya msingi tu.
 
Back
Top Bottom