Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,141
- 46,399
Sijui labda ni mimi pekee ninayeliona hili au na wenzangu pia mnaliona lakini mnakaa kimya.
Lakini kwa kipindi kirefu sana, nimekua nikifuatilia maswala ya mahusiano katika jamii yetu, na kugundua kwamba, hapa nyumbani kuoa au kuwa na mpenzi ni jambo kubwa sana ambalo linakupa nafasi flani katika jamii yetu.
Ndoa na mahusiano imekuwa kama sehemu flani ya kuoneshana uwezo wetu katika jamii, wanawake kuwa na mpenzi handsome ni nyongeza na vile vile mwanaume kuwa na mwanamke mrembo sana ni sifa na alama ya kuwa na uwezo mkubwa.
Jambo hili limewafanya vijana wengi sana kuwekeza katika mapenzi kwa muda na fedha vile vile kwa kuwa ni jambo lenye umuhimu mkubwa sana.
Utakuta kijana anaoambana sana ili aoe, akishaoa anaridhika na maisha.
Unakuta binti anapambana sana, alimradi tu aolewe akishaolewa anaridhika kabisa na maisha.
Sidhani kama ni approach sahihi katika maisha yetu kwani swala la mapenzi halina faida sana kiuchumi kuliko kuwekeza katika mambo ya msingi.
Nadhani imefikia mahali tubadili fikra zetu kutoka kwenye kuwekeza kwenye mapenzi na kuwekeza kwenye mambo ya msingi.