kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
Kumekuwa na kawaida moja jamaa akimuona au kusikia mpenzi wake analiwa na mtu mwingine anaumia sana na anaweza mpiga sana mwenza wake au wakaachana kabisa. Hiyo inatokea pande zote japo wanaume ndo wako harsh sana endapo akimkuta mpenzi wake yuko na mtu mwingine.
-----------------------------------------
Sasa mimi huwa najiuliza kuwa hivi kile kiungo kwani kikitumika na mtu mwingine tofauti wewe unapata madhara gani kwani baada ya kutumiwa na huyo mwingine si kitabaki kuwa bado chako kama ni mpenzi wako.
Binafsi sioni sababu ya mtu kuchukia, kuumia, kufanya fujo au kutengana eti kisa umeambiwa au umemkuta na mtu mwingine. Sasa usinge ambiwa au kuwakuta ladha si ile ile sasa kwanini uanze kufanya fujo?
Hebu tuache sasa hizo tabia kwani ile sehemu ya mpenz ako si bado ipo pale na haibadiliki ladha kama mpenz bado anakuheshimu mimi naona haina haja ya kutaka kumuacha eti kisa katumiwa na mwingine.
=======≠======
Wako
Kalenga kidamali