Mwanamke usikubali upweke olewa

mindpower

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
1,049
1,211
85d7ed3b06d8eae4eaf573b2d7603fdd.jpg
 
Ushauri Mzuri ila kwa Ratio hii ya 2:1 ambayo ni minimum lazima tuwamiliki zaidi ya mmoja angalau Na wao wapate raha duniani vinginevyo wataishia kujti a Vdol e tu NB: nimeshaoa ila mlango bado uko wazi kwa huduma za dharula nje ya ofisi,kwa msaada zaidi nyooka moja kwa moja mpaka PM.
 
Watu mkikosa wa kuoa mna stress! Acheni kutusumbua hata tusipoolewa tunafanikiwa na kuwa na furaha pia.
Watu mkikosa wa kuwaoa mnakuwaga wakali sana hata kwa kauli zenu mdomoni,, nani aliwadanganya kuwa huwa tuna stress?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sio vibaya kujipa moyo
lakin Mungu ameandika na amepiga na muhuri kwamba binti ataacha wazazi wake na ataambatana na mumewe.
Umeona! Sasa unakuta mwanamke miaka 33 bado ameambatana na wazaz wake, wengine wanaona aibu nakuamua kuambatana na mageto, hii si kinyume kabsa na matakwa ya mungu!
 
Uko sahihi kabisa. Hakuna peace of mind kwa mwanamke asiye na mume. Zinakuwa mbwembwe tu, na wasiwasi wa kutendwa na wanaume kizazi cha sasa kisichokuwa na true love.
Samahani kama nimemkwaza mtu.
 
Hapo ninaunga mkono hoja, nilishafanya maongezi na wanawake wanne tofauti wenye age tajwa hapo juu na kuelezea hali hy kwa huzuni kubwa sn
 
Maisha ni maamuzi, ni kusimamia kile unachoamua.wacheni kututia ujinga, kwani wao si waoe tunawahusu nini!
Tatizo watu wanaamini kuwa ndoa ni fever kwa mwanamke, mnajidanganya!!! mwanamke anaweza kutoolewa na akaishi vizuri kuliko mwanaume asie oa.
Tatizo ni kuonekana kama changudoa flani hivi yaani zoa zoa kimtindo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom