OMBA OMBA...INAFANYA NISIWE NA AMANI

OMBA OMBA...INAFANYA NISIWE NA AMANI

SuperHb

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
1,020
Reaction score
1,057
Habari wanajf...

Kuna kaka mmoja ana nguvu zake za kutosha za kujitafutia riziki...Huyu kijana sio rafiki yangu ila anaforce tu ili mradi nionekane mi rafiki yake...

Kila siku jioni nikiwa natoka kazini ananisubilia njiani...ninapopitaga kila siku na kuniomba pesa...Na pesa anayoitaka ni tsh..2,000/= tu..nimemzungusha mpaka imepita mwaka 1 na nusu...ila bado hajishutukii anaendelea kuniomba...

NDUGU ZANGU...si kwamba nashindwa kumpa hiyo buku...ila tatizo nina wasiwasi na huyo kijana maana naogopa isijekua anataka kunifanya "CHUMA ULETE"....Maana si kwa kuninganda hivyo muda wote huo...

NAOMBENI USHAURI...maana nina wasiwasi
 
Hahaha! Mpe buku tano uone kama hapokei.
 
Tatizo mpaka Magufuli anaomba kuombewa, hao makapuku wanafuata mfano tu.
 
Mpee tuu aache kukuganda hana kazi mwaka mzima anakusubiri wewe tuu
 
Habari wanajf...

Kuna kaka mmoja ana nguvu zake za kutosha za kujitafutia riziki...Huyu kijana sio rafiki yangu ila anaforce tu ili mradi nionekane mi rafiki yake...

Kila siku jioni nikiwa natoka kazini ananisubilia njiani...ninapopitaga kila siku na kuniomba pesa...Na pesa anayoitaka ni tsh..2,000/= tu..nimemzungusha mpaka imepita mwaka 1 na nusu...ila bado hajishutukii anaendelea kuniomba...

NDUGU ZANGU...si kwamba nashindwa kumpa hiyo buku...ila tatizo nina wasiwasi na huyo kijana maana naogopa isijekua anataka kunifanya "CHUMA ULETE"....Maana si kwa kuninganda hivyo muda wote huo...

NAOMBENI USHAURI...maana nina wasiwasi
Muombe kiboga kama ww ni me.
 
Kesho muwahi kumuomba yeye kabla hajakuomba. Na ndo iwe mchezo kila siku unamuwahi yeye kumuomba. Ila acha ubahili na imani za kishirikina kuhusu hizo chuma ulete. Kama vipi mpe tu ili uepukane na adha ya kuombwa kila siku.
 
Back
Top Bottom