Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Wapendwa,
Kwenye ile mikanda ya ngono huwa kuna warning wanasemaga, 'watu utakaoenda kuwaona humu, huenda unawafahamu, aidha aweza kuwa ni dada ako, shemeji yako au hata msichana wako' kwa hiyo unachokiona humu inabidi uwe tu mvumilivu'.
Hilo tangazo lina apply in the real life... Watu tunaochat nao humu JF, pengine ukute ni marafiki au ndugu wa karibu au hata mtu na bosi wake. Kitaani tunaheshimiana ile mbaya, ila humu ndani tunavyopeana makavu.
Mmh, yani siku mtu ukija kujua kuwa mtu flani ulimrushia bonge la kichambo afu ukute ndio mjomba wako au ukute mmetongozana humu alafu kuja kuonana kitaa unakuta umemtongoza dada yako, shemeji wako au hata msichana wako aibuuu!.