Tohara kwa wanaume haizuii HIV (facts)

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,390
Hapa JF ni kisima za wachambuzi.
Kwa siku mbili tatu inajadiliwa sana thread kuhusu Mkono wa Sweta (GOVI) wengi wa vijana katika hiyo mada wanaelezea faida za Tohara au kukata govi eti ni inasaidia kupunguza maambukizi ya UKIMWI kwa 60% kulingana na taarifa za afya hapa nchini nk.
Mkono wa sweta (govi) ninalo ila hakuna anaejua kama ninalo

Hata hivyo kupitia hii thread nataka tuweke kumbukumbu sawa,kuwasidia vijana kwamba lazima watambue kuwa DHANA hiyo imeandaliwa na makundi fulani kwa malengo fulani.

Hapa chini nitakuwekea facts za kisayansi zinazoonesha wazi kuwa tohara faida zake ni 3 tu.
1:Usafi na 2:Ustarabu/ukisasa 3:Imani.

Ukisoma research zilizowahi kufanywa hakuna hata moja inayoonesha tohara kupunguza au kuzuia UKIMWI.

Hata ukitazama takwimu za maambukizi ya UKIMWI duniani nchi ambazo wananchi wake wote ni wenye imani ya dini ambazo zinaamini katika tohara kuliko chochote ndizo maambukizi yako juu.

Kupitia utafiti wa Wiley - Blackwell 2009. sehemu yake inasema

Three recent African trials support male circumcision for reducing the risk of contracting HIV in heterosexual men. After including new data from these trials in their review, Cochrane Researchers have changed their previous conclusions that there was insufficient evidence to recommend circumcision as an intervention to prevent HIV infection in heterosexual men.

https://www.sciencedaily.com/releases/2009/04/090415074940.htm


Pia tazama hapa chini maambukizi kwa nchi za Uislam ambazo tohara ni jambo la lazima.
Soma =>How Majority Muslim Countries Are Handling HIV Infections
 
Back
Top Bottom