Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

It is 1st June.... Special day for ICHANA Its her birthday ICHANA sina maneno mengi ya kuandika juu yako ila kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa kwako. Mshukuru MUNGU wako maana ni kwa rehema...
7 Reactions
129 Replies
11K Views
Kwa wale mliopo Morogoro (mji kasoro bahari) leo nimekuja kuwatembelea. Naomba kampani ya kike kwa usiku wa leo - natamani niende club. Nicheck tafadhali
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wapendwa wangu .. Nimeona wanaume wanalalamika ooh mke wa mtu , mke wa mtu then what? Sasa wanaume niwaweke sawa TU kuwa mke wa mtu haina maana mimi kihisia, kimatamanio...
67 Reactions
719 Replies
40K Views
Come in box To chat, Female only watapata kipaumbele
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za jioni wakuu? Shalom! Rejea kichwa hapo juu, kwa Hakika hakuna kijana anaejielewa anayependa kuingia katika taasisi nyeti ya ndoa kwa njia isiyoeleweka namanisha isiyo rasmi yaani bila...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Ndugu wana jf, Wakati mwanaume mafanikio kwake ni pesa, Mali, utajiri na afya imara yenye uwezo Wa kutotoa watoto! Kwa wanawake mafanikio maana yake ni tofauti kabsa na mwanaume! Ona maana ya...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Ndugu wanajamii forum,naomba kufahamu utamjuaje mwanamke aliewahi kutoa mimba zaidi ya miaka mitano au zaidi iliyopita,yaani kama aliwahi kutoa kwa muda huo halafu wewe unataka kufahamu kwa...
0 Reactions
156 Replies
49K Views
Makala hii ameandika Gladys Chiduo kwenye FaceBook, yaliyomo ni funzo tosha kwa maisha ya ndoa, hasa za vijana wa kileo (.com). "Mwanangu nisikufiche watu wengi huchangia sherehe ili waje kula na...
10 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari wakuu, Hii kitu nimeikuta huko kwenye media za Kenya na inafikirisha. Uaminifu katika ndoa iwe ni kutoka mioyoni au iwe kiinimacho tu!? Je, uchawi kwenye mapenzi upo au ni porojo tu!? Hebu...
4 Reactions
37 Replies
8K Views
Kama wewe unahisi kuwa unaweza kuwa mke mwema karibu PM kwa kufahamiana zaidi..naishi Dar.... Mengine utayajua ukija PM Ukija PM acha namba nitakupigia..
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Holla.... I just fall in love with this man, a father... I feel the hug he gave to his daughter. Kasie mahaba.
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Za leo wakuu, samahani... Mwanamke 45+ (miaka) kama ameshika ujauzito... mtoto akizaliwa atakua salama kiafya na kiakili? Kwa wale wataalamu msaada tafadhali, nawasilisha.
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Kijana at work Utengenezaji wa kucha na uoshaji miguu ni biashara inayokuwa kwa kasi hasa maeneo ya mijini ambapo wanawake wengi wanahusudu na kujihusisha na masuala ya urembo. Biashara hii...
1 Reactions
15 Replies
8K Views
Wadau, Naomba kufahamu kwa hapo Dar nitapata wapi pete ya Tanzanite kwa bei nzuri tofauti na sehem wanazouza milioni mbili/ tatu? Thanks
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Refer The Head Above Nina Miaka 24 Home Dar But Now Nipo Dom Vile Vile I'm Single Boy Nawakarbsha Kwa Pm
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wana JF habari!! Nimekaa nikawaza kuhusu harusi bila kuchangiwa hata mia labda mawazo tyuu !! Kiwango nilichopanga ni kuwa nacho ni million 6 je itaosha kumaliza mchato mzima!! Wenye uzoefu na...
4 Reactions
77 Replies
8K Views
Juzi kati nilikutana na shogangu hapo Mcity, akawa yupo bothered! Akanilalamikia Money Penny me nina mpenz wangu tunapendana sana sana sana Lakini huyu bwana me simwelewi kabisa sikuhizi ni kama...
3 Reactions
40 Replies
15K Views
Ndugu zangu wanaume wenzangu,kuna wakati tunafanya mambo na kuona ya kawaida sana,lakini ni hatari kuliko tunavyoweza kudhani. Hapa nilipo siamini kilichonitokea,na sijui kesho yangu itakuwaje...
9 Reactions
175 Replies
21K Views
jamani habarini ndugu,me ni mwanaume umri miaka 27,ninampenzi wangu,na tunapendana kinachonipa tabu ni kwamba mpenzi wangu anatamani sana nimpe mimba kabla ya ndoa,sasa najiuliza ananipenda kweli...
0 Reactions
83 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…