Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,683
Maisha ni safari ndefu sana kwa wale ambao tumepitia mambo mengi katika maisha.........
leo hii hebu kila mmoja atoe ushuhuda katika maisha yake kipindi cha nyuma hivi uliwahi kuchukua nyumbani au kuiba kitu nyumbani na ukakipeleka kwa mpenzi wako......
Mimi upande wangu kitambo sana niliwahi kuiba mchele ndani na sukari nikapelekaga kwa demu wangu .
Je wewe ni kitu gani ulishawahi kuiba nyumbani kwa ajiri ya mpenzi wako