Dawa ya bao la fasta

Dannis

JF-Expert Member
Jan 21, 2016
1,508
2,000
wanaume wengi wanaonekana wachovu kwenye suala zima la 6 kwa 6, wanaume hawa ni wale wanaowahi kufika kileleni mapema kabla ya wapenzi wao hawajafika..
Leo naomba nitoe njia za asili kabisa za kupunguza au kumaliza tatizo hili

1. mazoezi
mazoezi ya miguu hasa mapaja yanaeweza kukusaidia kutibu tatizo lako
JINSI YA KUFANYA
simama wima na miguu yako iwe kama alama ya V.. anza kushukuka chini kama vile unachuchumaa then inuka wima fanya hvyo mara 20 kisha pumzika sekunde 10 rudia tena mpaka raund 4. hakikisha unakula sana matikiti maji kula na mbegu zake

2. mbegu za mlonge
chukua mbegu za mlonge zimenye kisha twanga zilainike kama karanga..

JINSI YA KUTUMIA
weka kijiko 1 cha chakula kwenye maji moto au chai fanya kunywa mara 2 kwa siku "asubuhi na jioni"

FAIDA
muda wa kufika kileleni utaongezeka mara dufu au zaidi kufikia hata dakika 20-30

HASARA
inawezekana ikawa kero kwa mpenzi wako kwa sabubu anaweza umfikisha kileleni mapema lakini ukawa ndo kwanza hata dalili za kufika bado..
 
1academ

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
1,931
2,000
bao la makinikia
FB_IMG_1497650233154.jpg
 
kodian

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
977
1,000

Mbegu za mlonge ndo zikoje mkuu
 
ARMs14

JF-Expert Member
Jul 11, 2014
257
250

Kuna ukweli kwa haya uloeleza. Ila waeleze hizo mbegu za mronge ukizidisha kidogo ni lazima uharishe hatar.kwa hio wanaotaka kitumia tumieni kidogo sana msije kuharibu mbele za watu!!!!!!
 
Fundisanifu

JF-Expert Member
Nov 3, 2016
494
1,000
Kuna ukweli kwa haya uloeleza. Ila waeleze hizo mbegu za mronge ukizidisha kidogo ni lazima uharishe hatar.kwa hio wanaotaka kitumia tumieni kidogo sana msije kuharibu mbele za watu!!!!!!
Uumewah kuharbu mkuu au??? Unazungumza kwa x-periance
 
adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
5,641
2,000
kweli hili tatizo ni janga la taifa.itabidi tume ya ripoti ya pili iundwe ijulikane kiini cha tatizo ni nini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom