Anayetembea na Mke/Demu wako, unamjua!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,608
2,000
Mwanamke huwa haendi mbali, mara nyingi kama akichepuka basi huyo msela unamjua, na siajabu umeshawahi kumkaribisha nyumbani kwenu hata kinywaji ukamkaribisha, ni mara chache Mwanamke anatoka na mtu asiyemjua kwa maana kwa Saikolojia ya Mwanamke trust ni muhimu klk vyote, hivyo siku ukihisi/ukijua Mke/Demu wako anagongwa na Msela mahali usiumize kichwa muache tu aende kwa maana mara nyingi ameshamzimikia jamaa na wewe umeshamtoka moyoni na hakuna kitu utafanya jamaa ataendelea kugonga tu, hiyo ndiyo siri kubwa ya Wanawake na ni karibia wote!


Take home message!
Ukiwa na Mahusiano na Mwanamke ikitokea ukachepuka fanya kila jitihada asijue wala kuhisi kama kweli unampenda, kwa maana akijua revenge yake utalia!
 

Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
44,063
2,000
Uzoefu na Wanawake, nimewasoma sana jaribu kuwachunguza utagundua hicho kitu, ndiyo maana hata Mabosi Wake zao wanatembea na Madereva wanaowahudumia!
Huo uzoefu umeona kwa wale ambao wanachepuka tu nadhani...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom