Wanaume wenzangu badilikeni

Wanaume wenzangu badilikeni

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,728
Reaction score
4,181
WANAUME.

[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]

( _Mnipende TU Katika Hili)

Usishangae kumuona binti amechukua Maamuzi MAGUMU ya kuolewa na mwanaume ambaye karibu ni mara 2 ya umri wake.

Unaweza Ukamuona hana akili, au ukasema amefuata Pesa na sio mapenzi ya dhati, huu ni upande mmoja ambao wengi mnaweza mkafikiria. Lakini upo upande wa pili ambao nitaenda kuuzungumzia... [emoji116]

Hivi sasa kuna WAVULANA wengi lakini Wanaume ni Wachache, Ninaposema Wavulana namaanisha watu ambao wana jinsia /maumbile ya kiume lakini wana IMMATURE Mind (akili za kitoto /zisizo komaa).

Unakuta kijana anakaribia miaka 30 bado yupo nyumban, bado analelewa na Wazazi. moji7

Anashinda kupiga *SELFIE* na kupost picha Instagram, Anashinda na remote Kazi kubadilisha channel za TV. Ukimuuliza vipi anakuambia anasubiria AJIRA siku Kazi Ngumu.

Hivi ni kweli Kazi hakuna au unachagua Kazi[emoji780] Hivi Kulima sio Kazi? Kwanin usiende kijijini kwa bibi yako uchukue hata heka moja ulime Vitunguu kuliko kubaki ukijaza foleni mjini.

Kwanini usiuze hiyo smart phone yako yenye thamani zaidi ya laki moja na nusu, na hiyo Pesa huifanye [HASHTAG]#MTAJI[/HASHTAG] wa kufuga Kuku? Kuliko kushinda online ukicomment na kupost UJINGA.

Kwanini usiende hata kufanya vibarua viwandani na kurudi hata na elfu 5 kwa siku, kuliko kukaa nyumban kugombania vitafuno na wadogo zako?

Unajiona msomi wa chuo Kikuu huwezi kufanya vibarua, Weka degree yako Kabatini, wewe Ingia Mtaani. KAZI NI KAZI, VIBAYA mwanaune KUOMBA.

Kwanini usifanye hata volunteer's Work (Kazi za kujitolea)? Kazi humfuata aliye na Kazi na si asiye na Kazi. Waswahili wanasema mgaa-gaa na Upwa, HALI wali MKAVU na MTEMBEA bure si sawa na MKAA Bure.

Sasa kwa mwanamke anayejitambua anaanzaje kuwa na mwanaume bongo lala kama huyu? Labda awe AMELOGWA. Hivi hapo nani Atakuwa AMEOLEWA?

Mkiitwa _WANAUME SURUALI_ mnakasirika, Lakini mpaka hapo hilo jina ni HALALI YAKO kama haulitaki BADILIKA.

Hauna HAKI ya kuitwa MWANAUME kama HAUWEZI KUWAJIBIKA.

VIJANA ACHENI UJINGA MUDA HAURUDI NYUMA[\B]
 
SAVE OUR HUSBANDS!

Why do husbands in Africa die most times before wives? A husband in Africa in most cases is under intense tension because he is responsible for:

Children school fees
House rents
Electricity bills
Medical bills
Generator fuel & repairs
Car fuel and repairs
Feeding of family
Clothes for children
Xmas and New year bills
Furniture &House maint
In-laws wahala/demand
His own aged parents
His siblings most times
His wife's demands
Vigilante bills
Erecting Building
Religious demands
Family social bills
Electronics bills
Recharge cards
Extended family bills
Community demands

On top of the above, he also faces:

Wife stress/insults
Boss stress at work
Police stress on the way
Area boys stress
Kidnappers fear
Friends stress
Economy stress
Fear of job loss
Unemployment pains
Armed Robbery stress
Children misbehaviour
Neighbours stress
Bank loan paymnt stress
Witchcraft stress
Demonic attack stress
Sex stress
....and so on! OMG!!

Are these reasons not enough for all African Wives to understand and give their husbands peace at home? Are men not trying? How can an African man with this kind of load be romantic like an American man? Women, please give your husband peace at home. Encourage your husband. Stop being sarcastic to him. Except if you like to join the widows club early! Note:
That club is not funny. Ask members. Help your husband. Contribute to the family. Be a helper. Be submissive. Stop nagging. Build your home and marriage. It is not greener outside there. Don't be deceived!!
Let our men and husbands live long like you. Men dey beg una
#################

FORWARD THIS TO EVERY WOMAN IN YOUR CONTACT LIST UNTIL EVERY WOMAN IN AFRICA READS IT. LET US PROLONG THE LIVES OF OUR MEN!!
 
Tangulia kubarika mkuu mimi nakuja taratibu..!
 
Ebu kwanza anza wewe kubadili hiyo ID yako ili tusiwe na tafasiri mbaya, kisha tutarejea kujadili huu uzi
 
Hasa hili la kunyoa viduku na milegezo ni janga. Kwa upande mmoja linaonesha kushindwa kwa wazazi kulea vijana wao na pia tutakuwa na taifa la watu wasiomjua Mungu. Wengi wa wanyoa viduku hawajui msikiti wala kanisa.
 
Hasa hili la kunyoa viduku na milegezo ni janga. Kwa upande mmoja linaonesha kushindwa kwa wazazi kulea vijana wao na pia tutakuwa na taifa la watu wasiomjua Mungu. Wengi wa wanyoa viduku hawajui msikiti wala kanisa.
Haha ataendaje kanisan na kiduku, nakusapoti 100% wengi wao hawasali aiseee
 
Mwanaume MASHINE... ZINGINE mbwembwe tu....MWANAUME bila MASHINE ni sawa na BUNDUKI bila RISASI....
 
Back
Top Bottom