Naombeni ushauri juu ya huyu mchumba

happy amos

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
229
250
Naomben ushaur kwenye hili...
Mi nimama wa mtoto / single mama nina 30yrs
Naomben ushauri kuna baba ana 38yrs anataka kunioa anawatoto wakiume 2 mmoja na 11yrs mwingine 8yrs...
Kilichofanya niombe ushauri jamaa hana hisia na Mimi na Mimi pia yaan sina hisia nae yaan tumekutana tu yeye anashida na kuoa nami naitaji kuolewa basi lkn hata mapenz hakuna kabisa maana tunaweza maliza hata wk hatuja wasiliana...
Napata wakati mgum sababu jamaa anaharaka sana anadai watoto wake hawana mlezi na anapata shida akitaka kusafir maana ni mfanya biashara,, Mimi nimemwambia angalau tupeane mda tusomane kwanza haelewi kabisa imagine tumefahamiana tuna mwez 1.. Lkn anataka tuanze process za utambulisho...

Aliachana na mke wake wa ndoa 2yrs ago na mke wake alishaolewa kwingine na hajulikan hata yuko wapi na alifunga ndoa ya kikristo..naomben ushauri nifanyeje?
 
ONTARIO

JF-Expert Member
Oct 16, 2013
1,891
2,000
Dadangu sijaingia kwenye ndoa lkn naamini marriage is not an accomplishment, but finding happiness is, usitafute ndoa kwa kufata mkumbo, kama hakuna furaha basi unajichosha bure. Tafuta kitu ambacho kinakupa furaha then kipe muda wako. Kama tatizo ni pesa, please tafuta kwa njia zingine lkn sio ndoa. Mlee mwanao malezi bora, usimchanganyie mambo kichwani kwake, let HIM/HER be your light, sunshine, hope.
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Huku si ndio kwenda kupata Majuto Mengine tena. Wewe una Mtoto Mmoja na una historia naye huyo Mtoto, Huyu Mume wako Mtarajiwa naye ana watoto wawili tena kwa jinsi ulivyoelezea inawezekana kabisa kuwa kati ya hao watoto inawezekana si wa huyo Mama wote. kama mmoja ana miaka 11 na Mwingine 8 possibly alizaa kabla ya Ndoa Kwa Hiyo Mke ambaye walioana more than 11 Years Back kuolewa atakuwa anakudanganya.

Maadamu umesema huna hisia basi usilazimishe dalili ya Mvua ni Mawingu na tayari umeshaona kabisa kuwa huna hisia na Yeye Hana hisia.

Mshauri amatafute Kijakazi kwa leongo la Kumlelea Watoto halafu wakipendana amgeuze kuwa Mke.
 
kandido samweli

New Member
May 5, 2017
2
20
Naomben ushaur kwenye hili...
Mi nimama wa mtoto / single mama nina 30yrs
Naomben ushauri kuna baba ana 38yrs anataka kunioa anawatoto wakiume 2 mmoja na 11yrs mwingine 8yrs...
Kilichofanya niombe ushauri jamaa hana hisia na Mimi na Mimi pia yaan sina hisia nae yaan tumekutana tu yeye anashida na kuoa nami naitaji kuolewa basi lkn hata mapenz hakuna kabisa maana tunaweza maliza hata wk hatuja wasiliana...
Napata wakati mgum sababu jamaa anaharaka sana anadai watoto wake hawana mlezi na anapata shida akitaka kusafir maana ni mfanya biashara,, Mimi nimemwambia angalau tupeane mda tusomane kwanza haelewi kabisa imagine tumefahamiana tuna mwez 1.. Lkn anataka tuanze process za utambulisho...

Aliachana na mke wake wa ndoa 2yrs ago na mke wake alishaolewa kwingine na hajulikan hata yuko wapi na alifunga ndoa ya kikristo..naomben ushauri nifanyeje?
Cha msingi nikumuuliza yeye kwanza sababu ya msingi ni nini kutaka kuoana haraka hivyo
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,861
2,000
Hisia haziendani halafu unataka muoane..Sitisha huo mpango mwambie haiwezekani.. Maisha mtakayoishi baada ya kuoana yatakuwa miserable mbaya.
Jaribu kutafuta mahala pengine salama HAPO HAMNA UPENDO
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Olewa mlee watoto, mapenzi mtapendania hukohuko Kwanza mapenzi yenyewe yako wapi bibie??
Sikuhizi unaolewa kutimiza wajibu Raha unajipa mwenyewe!
Tena kwa umri huo!! Bahati hiyo jishaue tu!

Huyu Dada Maneno yakutokayo Mdomoni na Sura yako ilivyo ni vitu viwili tofauti.. Ila Ukisemacho kinaendana kabisa na Signature yako.. Upo Complicated
 
Tater

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
4,666
2,000
Mapenzi ni hisia, kama hamna hisia kati yenu ndoa ya nini.!?

Labda uolewe ili uonekane na wewe ni mke wa mtu..!!
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Naomben ushaur kwenye hili...
Mi nimama wa mtoto / single mama nina 30yrs
Naomben ushauri kuna baba ana 38yrs anataka kunioa anawatoto wakiume 2 mmoja na 11yrs mwingine 8yrs...
Kilichofanya niombe ushauri jamaa hana hisia na Mimi na Mimi pia yaan sina hisia nae yaan tumekutana tu yeye anashida na kuoa nami naitaji kuolewa basi lkn hata mapenz hakuna kabisa maana tunaweza maliza hata wk hatuja wasiliana...
Napata wakati mgum sababu jamaa anaharaka sana anadai watoto wake hawana mlezi na anapata shida akitaka kusafir maana ni mfanya biashara,, Mimi nimemwambia angalau tupeane mda tusomane kwanza haelewi kabisa imagine tumefahamiana tuna mwez 1.. Lkn anataka tuanze process za utambulisho...

Aliachana na mke wake wa ndoa 2yrs ago na mke wake alishaolewa kwingine na hajulikan hata yuko wapi na alifunga ndoa ya kikristo..naomben ushauri nifanyeje?

Ebu uliza kwanza Huo Muachano na Mkewe ulikuwaje isije ikawa kwako Pia, Kumbuka aliyekula Nyama ya Mtu ile dhambi haimuachi mtu salama
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom