Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 24,497
- 34,556
Unakuta kijana anakuja jukwaani anaelezea kuwa amemtongoza binti fulani kisha bae amemkubalia sasa anauliza afanye nini next. (huu ni udhalilishaji dhidi yetu wanaume)
Mtu anakuja humu anaomba ushauri kama amrudie ex wake ama laa. (bwege kweli, yaani sisi tunamjua ex wako kuliko wewe?)
Hebu badilikeni bana. kuna siku mtatuletea story za kudundwa na wake zenu hapa jukwaani.
Jukwaa hili lipewe heshima yake bana. tujadili issues za kujenga mahusiano, ndoa imara na hata kutatua migogoro kwa njia za busara...
Wewe kama hautaki kuoa basi usilalamike ukiona mpenzi wako anamegwa na mpangaji mwenziwe. Sana sana nawashauri vijana mfanye mazoezi maana mlo wenu wa chips yai kisha fanta baridi mtaishia kunywa supu ya pweza na siku hizi wanawaweza wanawawekea viagra humo humo....
Dar es Salaam kuna wanaume wanaojiamini na wenye sifa zote kuitwa wanaume. Mimi nina sifa hizo na mnanikwaza sana nyie wenzangu mnaosukuma damu kwa mioyo ya plastiki.
Nimesema