Kwa wanawake mnaotafuta mabwana humu na ambao hamjapata

dedon

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
1,492
2,000
Ushaur wangu kwa nyie wadada mnaotafuta wapenz humu

Acheni kutembea kwenye makundi mda wotee,marafiki sio vibaya bt uwe na ka mda wa kuwa peke yako kwenye mizunguko yako mnatutesa sana tunaowafukuzia

Mtakaofata ushaur mtanipa mrejesho
 
ONTARIO

JF-Expert Member
Oct 16, 2013
1,888
2,000
Sijawahi kuona simba anaogopa nyumbu mmoja kisa anatembea ktk kundi kubwa na wenzie. Lipa bill yao wote, agiza deserts, kisha mwambie waitress alete richebourge wine, sambaza glass meza yao yote, huyo unayemtaka hata humwiti kwa kelele, unanyoosha tu kidole, utaona kila mmoja kwenye kundi anauliza "unaniita mimi??" (huku anajinyooshea kidole kifuani), wewe unasema - the one with pink shirt
 
dedon

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
1,492
2,000
Sijawahi kuona simba anaogopa nyumbu mmoja kisa anatembea ktk kundi kubwa na wenzie. Lipa bill yao wote, agiza deserts, kisha mwambie waitress alete richebourge wine, sambaza glass meza yao yote, huyo unayemtaka hata humwiti kwa kelele, unanyoosha tu kidole, utaona kila mmoja kwenye kundi anauliza mimi (huku anajinyooshea kidole kifuani), wewe unasema - the one with pink shirt
Sio zama hz za magufur... Hilo kundi lenye simba wa aina hii wamebaki wachache wengne tushatolewa na magu humo
 
The dream

JF-Expert Member
May 10, 2015
1,001
2,000
Sijawahi kuona simba anaogopa nyumbu mmoja kisa anatembea ktk kundi kubwa na wenzie. Lipa bill yao wote, agiza deserts, kisha mwambie waitress alete richebourge wine, sambaza glass meza yao yote, huyo unayemtaka hata humwiti kwa kelele, unanyoosha tu kidole, utaona kila mmoja kwenye kundi anauliza mimi (huku anajinyooshea kidole kifuani), wewe unasema - the one with pink shirt
Kama sio mhaya basi utakua umekulia either Muleba,Karagwe au bukoba mjini
 
DATABASEE

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
591
1,000
Sijawahi kuona simba anaogopa nyumbu mmoja kisa anatembea ktk kundi kubwa na wenzie. Lipa bill yao wote, agiza deserts, kisha mwambie waitress alete richebourge wine, sambaza glass meza yao yote, huyo unayemtaka hata humwiti kwa kelele, unanyoosha tu kidole, utaona kila mmoja kwenye kundi anauliza "unaniita mimi??" (huku anajinyooshea kidole kifuani), wewe unasema - the one with pink shirt
 
dimaria

Member
Sep 7, 2015
20
45

Hahhahaha mkuu umeongea ki Don sana. Umenikumbusha mbaliiiiiiii sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom