Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Imesemekana kwamba ikiwa familia yenye wazazi wote wawili ingelinganishwa na mnyama, basi huenda mnyama huyo angekuwa katika orodha ya wanyama wanaokaribia kutoweka. Fikiria: Kuna zaidi ya familia...
8 Reactions
32 Replies
7K Views
Mimi leo kuna kitu nimecheka kuanzia mchana mpaka muda huu nikifikiria nacheka sana ,nyie acheni yaan sijaamin nilichoona na wala sijawah kufikiria aisee ,watu wa humu mnachekesha sana aisee...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Huwa mnatumia mbinu gani kwa watoto ambao viwango vyao kielimu (darasani) wanashuka. Yani hapandi au ana mantain hapo hapo. Napata shida nina mdogo wangu (ke) yani hapandi. Na wastani wake ni...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanajf Kwa muda kama miezi mitatu sasa nimekuwa katika mahusiano na mwanamke fulani Huyo mwanamke huwa anasema ananipenda ila tukiwa faragha katika harakati za kuvunja amri ya...
0 Reactions
48 Replies
9K Views
Amani na heshima kwenu wapendwa. Mimi ni kijana, ni muumini mzuri wa Uchawi yaani naamini Uchawi upo. Cha kusikitisha ni kwamba mimi mwenyewe sio mchawi wala sijui unafanyika vipi! Natamani...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Huku kwetu Kwamtogole jirani yangu anavaa nguo kama t-shirts za mume wake na khanga au kitenge mume wake akiwa kazini. Si kuwa ninamwonea wivu kwakuwa ana mume ninauliza tu je ni sahihi hivi...
8 Reactions
122 Replies
16K Views
Wakuu, huyu "mtaalamu" wetu kapotea ghafla, hata hakuaga, kwa mwenye ukaribu Naye atujulishe tafadhari maana sio kawaida yake kua kimya hivi.
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Mi naomba tu niwe mkweli aisee,mfano nimeolewa mi ndio bi mkubwa halaf akaolewa na bimdogo ,,,halafu bahati mbaya akapoteza maisha eti mimi nilie mpaka na kuzimia kama malkia Leyla "hapana"...
17 Reactions
167 Replies
14K Views
Kwanza unatakiwa kujua hakuna mapenzi ambayo ni matamu kama mapenzi ambayo yana maendeleo na yenye maisha mazuri. Hata siku mkiwa mko kwenye show zenu huku mna uhakika wa maisha huwaga zile show...
17 Reactions
61 Replies
7K Views
Ndugu JF, Kiukweli bila kupindisha ukweli, mimi huwa najiuliza maswali mengi sana juu ya wanawake. Kumbuka si wote ila wengi wao. 1.Kwanini wanawake wengi hujihusisha na uchawi, kwa mfano; house...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
UTANGULIZI: KILA binadamu yupo duniani kwa ajili ya kuishi. Hakuna aliyeumbwa kupata mali kwa ajili ya kumpoteza mwenzake bali imeumbwa riziki ya mtu ipitie kwa mtu. Wengi wamesahau kila kiumbe...
14 Reactions
122 Replies
56K Views
Jamaa ana mpenzi wake, demu mmoja wa uswazi. Ananieleza kwamba demu huyo ana mazoea ya kumtumia meseji mbili au tatu kwa siku akimsalimia au blah blah za kawaida za hawa mabinti, mara bebi naomba...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu nipo hapa moshi. Naulizia sehem gani naeza nikapata massage parlour
0 Reactions
10 Replies
5K Views
habarini ndugu wanajamii forum,leo ningependa niwaletee kitu kipya ambacho wengi hawakifahamu katka mapenzi, ni kuhusu nguvu ya majina yani lako na la mpenzio,believe me tofauti ya mwendano wa...
3 Reactions
82 Replies
13K Views
Kwa muda wa wiki nne sasa, nilikuwa kwenye mingo na huyu mtoto wa kimburu nimnase. Issue haikua ngumu, ugumu ulikua kwenye muda wa kukutana kutokana na shughuli zangu na za kwake. Mungu huwapenda...
7 Reactions
134 Replies
9K Views
Haya mapenzi kweli ni shida. Nakumbuka kitambo kidogo nikiwa A level sekondari moja ya bweni mkoani kaskazini huko. Ikatokea nilivutiwa sana na head girl. Alikuwa mzuri. Hope bado mzuri. Asubuhi...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari wakuu.. Napenda kuweka wazi kwamba nahitaji mwanamke wa kuanza naye maisha siyo kupotezeana muda kwani kama ni muda nimeshapoteza sana. Naomba awe na sifa zifuatazo: Sibagui. Dini...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu ni vipi?? what is your checklist when choosing a wife material, what do you look at?
1 Reactions
70 Replies
9K Views
Habari za usiku ladies and gentlemen, Ni matumaini yangu kuwa mko salama kiafya, kiroho na kimwili. Bila kuzunguka sana ngoja niingie kwenye hoja mara moja. Ni kwamba kwanini wanawake wengi...
2 Reactions
118 Replies
8K Views
HABARI NDUGU WANA JF...Kuna jambo ambalo nimelifanyia utafiti wa muda lakini majibu sijapata kwa wahusika yenye kuridhisha. Kuna mitandao ya jamii na applications mbalimbali ambazo zinaruhusu...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Back
Top Bottom