Ni sahihi kuvaa nguo za mume wako?

Ni sahihi kuvaa nguo za mume wako?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,425
Huku kwetu Kwamtogole jirani yangu anavaa nguo kama t-shirts za mume wake na khanga au kitenge mume wake akiwa kazini. Si kuwa ninamwonea wivu kwakuwa ana mume ninauliza tu je ni sahihi hivi anavyo fanya?
 
Asa mtajuaje kama yy ni Mrs flani kama havai T-shirt za Mr wake[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ubaya ni kuwa sijawahi pata mwanamke ambaye size zetu zinaendana....mm ni mzee wa mitulinga
 
Huku kwetu Kwamtogole jirani yangu anavaa nguo kama t-shirts za mume wake na khanga au kitenge mume wake akiwa kazini. Si kuwa ninamwonea wivu kwakuwa ana mume ninauliza tu je ni sahihi hivi anavyo fanya?
Baby nilikuambia huko uswazi kuna vijimambo, njoo mjini bhanaa
 
Back
Top Bottom