Kwanini wanawake? Lakini si wote

THEGENTLEMAN1996

JF-Expert Member
May 13, 2017
518
1,000
Ndugu JF,

Kiukweli bila kupindisha ukweli, mimi huwa najiuliza maswali mengi sana juu ya wanawake.

Kumbuka si wote ila wengi wao.
1.Kwanini wanawake wengi hujihusisha na uchawi,
kwa mfano; house girls wengi wa visa na matukio mengi ya kishirikina.

Mfano mwingine hata mitaani tetesi za wachawi wengi ni mabibi sana.

2.Kwanini wanawake wengi wana roho mbaya.
kwa mfano dada yangu mmoja yeye hata jirani anapohitaji msaada kutoka kwetu, lazima tu dada ajiongeleshe negatively eti "kwani hapa tu ndo ameona"

3.Chuki moyoni.
Yaani wanawake wengi tu wamebeba chuki hata ya kitu kidogo,
mfano watoto wanapogombana wao kwa wao mama zao hutunza chuki isiyo kifani.

4.Kujidharau
Haina ubishi!
Wanawake hujidharau sana, mfano: Mwananume akifanya upuuzi, wanawake wanasikika wakisema yaani "mwanaume unafanya vitu kama mwanamke?

Sasa huwa najiuliza kwanini kwao?
 
Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
40,975
2,000
Hii mifano ya mtu mmoja mmoja kamwe haiwezi kunishawishi kuamini unachokisema kwamba ni wanawake pekee ndio wenye hizo tabia.

Tabia hizo haziangalii jinsia ya mtu kwa sababu kama ni uchawi hata baadhi wanaume wapo wachawi na kama roho mbaya hata baadhi ya wanaume wanazo roho mbaya.

Mmeshazowea kila siku "mzigo mzito kumpa mnyamwezi"
 
si mtu mmoja mmoja !
hata wanaume wapo ila fanya tafiti ndogo hata eneo ulilopo asilimia kubwa wanawake ndo wabaya
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,354
2,000
wanawake ndio wana roho mbaya?....wanaoua watu huko kibiti ni wanawake pia?
waliopiga mwanafunzi kule mbeya video ikasambaa walikuwa wanawake? wanaokata viungo vya albino ni wanawake pia?
waliombaka dada wa watu kinyume na maumbile tena huku wakichukua video kule morogoro walikuwa wanawake?

hebu rudi kafanye research upya!! usituharibie funga zetu.....shubaaamiti
 
Honest Abe

Member
Jun 13, 2017
40
95
wanawake ndio wana roho mbaya?....wanaoua watu huko kibiti ni wanawake pia?
waliopiga mwanafunzi kule mbeya video ikasambaa walikuwa wanawake? wanaokata viungo vya albino ni wanawake pia?

hebu rudi kafanye research upya!! usituharibie funga zetu.....shubaaamiti
Duh!
 
Demi

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
23,995
2,000
wanawake ndio wana roho mbaya?....wanaoua watu huko kibiti ni wanawake pia?
waliopiga mwanafunzi kule mbeya video ikasambaa walikuwa wanawake? wanaokata viungo vya albino ni wanawake pia?
waliombaka dada wa watu kinyume na maumbile tena huku wakichukua video kule morogoro walikuwa wanawake?

hebu rudi kafanye research upya!! usituharibie funga zetu.....shubaaamiti
Wasituharibie siku. Kila kitu wanawake tu.
Mijambazi ni midume
Mibakaji midume
Mifisadi midume
Wauaji wengi midume
Wabahili midume
Wanaotelekeza familia midume
Wafiraji wanaume. Hebu mtupishe huko..
.
.
Mshana jr ni mchawi (mshana hapa natania tu jamani)..ni mwanaume
 
Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
40,975
2,000
Wasituharibie siku. Kila kitu wanawake tu.
Mijambazi ni midume
Mibakaji midume
Mifisadi midume
Wauaji wengi midume
Wabahili midume
Wanaotelekeza familia midume
Wafiraji wanaume. Hebu mtupishe huko..
.
.
Mshana jr ni mchawi (mshana hapa natania tu jamani)..ni mwanaume
Wameshazowea huwa hatukatai tafiti zao ndio mana wanaona kila jambo watuangushie. Kwa hili halina jinsia wakubali wakatae.
 
kobokocastory

JF-Expert Member
Aug 30, 2014
1,059
2,000
Hawa alivyokubali kula lile tunda pale kwenye bustani toka kwa yule ibilisi ndio akaharibu kila kitu na ndio matokeo yake haya.
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,354
2,000
Wasituharibie siku. Kila kitu wanawake tu.
Mijambazi ni midume
Mibakaji midume
Mifisadi midume
Wauaji wengi midume
Wabahili midume
Wanaotelekeza familia midume
Wafiraji wanaume. Hebu mtupishe huko..
.
.
Mshana jr ni mchawi (mshana hapa natania tu jamani)..ni mwanaume
amejisemea emmyta ....wamezoea mzigo mzito mpe mnyamwezi..
watu wanajibakia watoto wa kuwazaa wenyewe tunasikia kila siku...imefika mahali wanawake wanaogopa kuwaacha watoto na baba zao.

dunia hii mwanamke akikosea mshenzi..mwanaume akikosea bahati mbaya..
 
GREENER

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
629
1,000
Hakuna uchaw mbaya/roho mbaya kama kumtatua rinda mwanaume mwenzio, nyie wanaume ndio mnaotengeneza jamii za mashoga dunian, watoto zetu wa kiume hatuna pa kuwaficha, sio nyumban, shulen, msikitin wala kanisan, kote mashetan ya kiume yamejaa kulawit na kubaka vitoto, hivi mnajua hakuna dhambi mbaya kama hiyo?? Hebu muulize mwanaume mwenzio kati ya kurogwa na kufanywa kinyume na maumbile atachagua nn, hapo ndo utajua uchaw upi mbaya zaid.
Hiyo dhambi ndio ilimfanya Mungu awashe kibiriti kule sodoma na gomora. Achen ufiraj, sio kwa mwanamme mkubwa, mdogo au mwanamke, huo ndo uchaw na roho mbaya kubwa kuliko zote.
 
atlas copco

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
4,675
2,000
Wasituharibie siku. Kila kitu wanawake tu.
Mijambazi ni midume
Mibakaji midume
Mifisadi midume
Wauaji wengi midume
Wabahili midume
Wanaotelekeza familia midume
Wafiraji wanaume. Hebu mtupishe huko..
.
.
Mshana jr ni mchawi (mshana hapa natania tu jamani)..ni mwanaume
punguza ukali wa maneno kuna watoto humu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom