Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,739
- 5,979
Kwa muda wa wiki nne sasa, nilikuwa kwenye mingo na huyu mtoto wa kimburu nimnase. Issue haikua ngumu, ugumu ulikua kwenye muda wa kukutana kutokana na shughuli zangu na za kwake.
Mungu huwapenda wote hata wazinzi. Jana Mungu akanipa nafasi ya kukutana mtoto huyu mzuriiii, mwenye macho mkubwa yalolegea na mwili lainiiii. Nikamtafutia hotel nzuri kwa kuweka vizuri kiakili.
Katika story zetu zilianza vizuri na mtoto alikuwa akinielewa na sikuonyesha kuwa na haraka hata. Story ilibadilika kuwa shubiri kwa upande wake nilipomwambia kuwa nina mke, daah! Mtoto kaanza kususa...
Msimamo wangu ni kutomficha demu yeyote ninayemtokea kuwa nina mke na watoto na nilikuwa sijali hata demu akinikataa, sikuona tatizo kwani siwezi kuikana familia kwa ajili ya mbunye.
Lakini kwa uzuri wa huyu mtoto, na bashasha ambazo alishaanza kunipa pale room nilijikuta nikijilaumu kumwambia kwamba nina mke kwani hata mzigo hakunipa, na sina hakika kama atanielewa.
Sasa naanza kujiona nilikosea kuwa na msimamo wa kuwaambia hawa viumbe kuwa nina mke....
Wadau, tatizo hili lishawahi kukutokea na ukajutia au ilikua powa tu......?