Jua athari za jina lako katika mapenzi

Jua athari za jina lako katika mapenzi

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,869
Reaction score
10,181
habarini ndugu wanajamii forum,leo ningependa niwaletee kitu kipya ambacho wengi hawakifahamu katka mapenzi,
ni kuhusu nguvu ya majina yani lako na la mpenzio,believe me tofauti ya mwendano wa majina imekuwa sbabu ya watu wengi kuachwa mara kwa mara na hata ndoa kuvunjika kila siku,ni hivi ikiwa umempata mchumba mpya hakikisha kwamba majina yenu yametofautiana kuanzia herufi nane na kuendelea
ngoja niwaeleweshe hope hamjaelewa
ni kwamba kuna alphabet A mpka Z
kila herufi ipe namba a ipe 1,b2,c3na kuendelea
sasa kama unampenzi angalia heruf yke ya kwanza na yko hakikisha zmetofautian kwa namba nane kam sivyo jua hamtadumu
 
..
 
Attachments

  • FB_IMG_1497603589877.jpg
    FB_IMG_1497603589877.jpg
    51.1 KB · Views: 55
Nane ndio maximum au minimum?
nane ni mini mum yani zuanzie nanecna kuendelea,mfano mzuri tafuta watu wawili alafu kat ya hao angalia yupi namba yake ipo karbu na yko na yupi ipo mbali amni usiamini kuwa yule mwenye ya mbali utakuwa unampnda zaid kuliko yule mwwnye ya karibu
 
habarini ndugu wanajamii forum,leo ningependa niwaletee kitu kipya ambacho wengi hawakifahamu katka mapenzi,
ni kuhusu nguvu ya majina yani lako na la mpenzio,believe me tofauti ya mwendano wa majina imekuwa sbabu ya watu wengi kuachwa mara kwa mara na hata ndoa kuvunjika kila siku,ni hivi ikiwa umempata mchumba mpya hakikisha kwamba majina yenu yametofautiana kuanzia herufi nane na kuendelea
ngoja niwaeleweshe hope hamjaelewa
ni kwamba kuna alphabet A mpka Z
kila herufi ipe namba a ipe 1,b2,c3na kuendelea
sasa kama unampenzi angalia heruf yke ya kwanza na yko hakikisha zmetofautian kwa namba nane kam sivyo jua hamtadumu
Ushindwe na ulegee,we naona umetumwa...
 
liongo hili, sio la kuamini hata kidogo... 'we are what we believe' unachoamini unakipa uhai katika maisha yako
 
Back
Top Bottom