Natafuta mwanamke wa maisha tutengeneze familia!

Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
3,395
5,374
Habari wakuu..

Napenda kuweka wazi kwamba nahitaji mwanamke wa kuanza naye maisha siyo kupotezeana muda kwani kama ni muda nimeshapoteza sana.


Naomba awe na sifa zifuatazo:

Sibagui. Dini
Kabila
Rangi
Kipato

Ajiheshimu na awe mcha Mungu.

Awe tiyari kujituma hata pale itakapohitajika kuwezeshwa mtaji.

Awe tiyari kupima AFYA.


Sifa zangu:
Umri, miaka 30

Mrefu wastani
Rangi ya kahawia

Mwajiriwa pia nimejiajiri.

Aliye serious naomba anicheki Private Message (PM).
 
kila la kheri Mungu akusaidie umpate wa kufanana nae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom