Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 49,545
- 68,302
Mimi leo kuna kitu nimecheka kuanzia mchana mpaka muda huu nikifikiria nacheka sana ,nyie acheni yaan sijaamin nilichoona na wala sijawah kufikiria aisee ,watu wa humu mnachekesha sana aisee tubakieni na Id fake tu ,siku ikitokea tukaonana na live humu tutakimbiana aisee,watu tunaweka avatar nzuri kweli ,kiuhalisia sasa mtu haeleweki ,na mnavyoandika na kujifanya kujua vitu na kujiona sasa,kukaa nyuma ya keyboard kudumu milele Amina,,na wanaotaka eti tujisajili kwa majina halisi na picha zetu mtukome aisee hatutakii kabisa maana majigambo yatakwisha na jf itapoa bora hivi hivi tu ama nene