Yu wapi Mshana Jr?

Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
11,292
21,414
Wakuu, huyu "mtaalamu" wetu kapotea ghafla, hata hakuaga, kwa mwenye ukaribu Naye atujulishe tafadhari maana sio kawaida yake kua kimya hivi.
 
Sasa hivi kuna ukaguzi wa vyeti, ukiona mtu hapatikani majibu kumkichwa.
:D:D:D:D:D:D
Yupo huwani tu sana labda hupitii mara kwa mara hapa jf, juzi na jana tu alikuwa anatiririka na mada isemayo "hii dhambi hata shetani anaiogopa"
 
Mkuu, Una uhakika? Kuhusu vyeti sidhani maana huyu Ni "mtaalamu", the only thing he can't do is "kumfufua mtu" ambapo pia it depends on situation.
 
Back
Top Bottom