Unaangalia nini kwenye kumpata mwanamke ambaye ni wife material

Huu uzi nahisi ni maalumu kwa waliooa, ngoja waje watoe ushuhuda wao
 
Wife material always she is acting to be mother always nd she just talk about development and your future she will ask about family plan nd what kind of life u prefer tokana na kipato chako na kamwe she will not talk about sex never na utaona dalili ingine zaidi kadri mnavokuwa mnaongea na usirubusu mahaba yazidi kwake na kuonana every time na some time si haba asipafahamu kwako atakuja na mipango yake kwako yote ukiwa muwazi atakwambia future yake na anataka nini
 
Mi nadhan yangu iko hivi...
Kwanza lazima tujue mwanamke aliumbwa awe msaidizi wangu kama mwanaume! Kwa kifupi nna mapungufu yangu so yeye aje ayazibe na mimi nizibe yake thats how it works!

Zaidi ya hayo ajue wajibu wake kama mke! Awe na heshima na ajiheshim kama mke! Awe na akili kichwan na sio makalioni zaidi ya yote Awe mcha mungu!

Jua ni heri ukosee kujenga utabomoa ila ukikosea kuoa hamna rangi utaacha ona!
 
kwel mkuu
 
Wife material always she is acting to be mother always nd she just talk about development and your future she will ask about family plan nd what kind of life u prefer tokana na kipato chako na kamwe she will not talk about sex never na utaona dalili ingine zaidi kadri mnavokuwa mnaongea na usirubusu mahaba yazidi kwake na kuonana every time na some time si haba asipafahamu kwako atakuja na mipango yake kwako yote ukiwa muwazi atakwambia future yake na anataka nini
uko vizur mkuu
 
uko vizur mkuu
Na zaidi ya hapo ukiruhusu sex na mwana mke unae tarajia kuoa hautopata thamani ya huyo unaeenda kuoa kwani tayari either value yake huenda perfomance ikawa low na ukamdhalau na pindi ukaikuta iko juu ikasema atakuwa malaya maana kwa perfomance yake haiwezekani hivo kuoa ni jambo gumu na rahisi ukilipa heshima yake ndugu zangu
 
Kama mpenzi wangu hivi:

1.Ananipush kujijenga zaidi.

2.Hanibughudhi kuhusu pesa,nampa kwa upendo tu ikibidi ni expensive presents na outings,na reciprocate upendo.

3.Ananipa backup kwenye mitikasi yangu ya kimaisha. Nikikwama ananitoa, mi pia namtoa hali ikiwa tight.

4.Kwenye majanga she is my first, mfano: nimedakwa na ma poti ananiwekea dhamana and shit! Nikumwa anajiongeza.

5.She gives me a husband treatment, msafi mno na mpishi mzuri sio mvivu at all.
 
yeah nimekuelewa san mkuu
 
Mkuu, hapo ulipochomoa kama amebakia mdogo wake tuwasiliane
 
Kama mpenzi wangu hivi:

1.Ananipush kujijenga zaidi.

2.Hanibughudhi kuhusu pesa,nampa kwa upendo tu ikibidi ni expensive presents na outings,na reciprocate upendo.

3.Ananipa backup kwenye mitikasi yangu ya kimaisha. Nikikwama ananitoa, mi pia namtoa hali ikiwa tight.

4.Kwenye majanga she is my first, mfano: nimedakwa na ma poti ananiwekea dhamana and shit! Nikumwa anajiongeza.

5.She gives me a husband treatment, msafi mno na mpishi mzuri sio mvivu at all.
Truu mkuu
 
Back
Top Bottom