Wanawake hawapendi miaka yao ijulikane

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
3,809
2,000
Habari za usiku ladies and gentlemen,

Ni matumaini yangu kuwa mko salama kiafya, kiroho na kimwili. Bila kuzunguka sana ngoja niingie kwenye hoja mara moja.

Ni kwamba kwanini wanawake wengi hampendi umri wenu wa kweli ujulikane?

Inasemekana kwamba mwanamke akikwambia anamiaka 20 inabidi uongeze miaka mitano ili upate umri wake sahihi kwa sababu wanapenda sana kudanganya linapokuja swala la umri au miaka yao.

Ni sababu gani inawafanya kudanganya umri wenu? Kwani umri wenu una nini? Utafikiri umri wenu ni dhahabu aisee.

Acheni hiyo tabia mara moja nyie wanawake wote mnaoendekeza tabia ya kuficha miaka yenu halisi.

Karibuni kwa michango.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
49,811
2,000
Birthday parties zinaishaga kwenye 25. Huko kwingine ukinunuliwa zawadi ya birthday unashukuru. Ikifika 30 unanuna champaign una toss na wakaribu nyumbani, wakikutoa dinner pia salama lakini hutaki kukumbuka sana age.

Ninashtuka nikienda kwa daktari ndiyo reality inakuja.
 
joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
3,809
2,000
Birthday parties zinaishaga kwenye 25. Huko kwingine ukinunuliwa zawadi ya birthday unashukuru. Ikifika 30 unanuna champing una toss na wakaribu nyumbani, wakikutoa dinner pia salama lakini hutaki kukumbuka sana age.

Ninashtuka nikienda kwa daktari ndiyo reality inakuja.
Hahahahh eti kwa daktari ndiyo umri sahihi unatajwa!

Umetisha sana mkuu.
 
joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
3,809
2,000
Inategemea unamuuliza umri katika mazingira gani;,kama katika mahusiano awezi kuwa mkweli,nje ya hapo atakuwa mkweli kama Ebitoke!
Kama ishu ya umri tu anakudanganya mambo ya msingi atakuwa mkweli?

Kweli ndiyo maana tumeagizwa kuishi nao kwa akili maana ni waongo sana.
 
joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
3,809
2,000
Mimi uso wangu na mwili kwa urefu fulani... unanishusha kama miaka 15-17 na inanifurahisha hadi nakuwa mkweli wa umri wangu nimuache mtu mataa. Na baraka ninazo tele zingine... Eeeeh najivunia nilivyoumbwa na Mungu wetu.

JF burudani
Hongera sana Mkuu.

Usiwaige wale ambao kila mwaka wao ni 25 yrs old.
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,511
2,000
Habari za usiku ladies and gentlemen,

Ni matumaini yangu kuwa mko salama kiafya, kiroho na kimwili. Bila kuzunguka sana ngoja niingie kwenye hoja mara moja.

Ni kwamba kwanini wanawake wengi hampendi umri wenu wa kweli ujulikane?

Inasemekana kwamba mwanamke akikwambia anamiaka 20 inabidi uongeze miaka mitano ili upate umri wake sahihi kwa sababu wanapenda sana kudanganya linapokuja swala la umri au miaka yao.

Ni sababu gani inawafanya kudanganya umri wenu? Kwani umri wenu una nini? Utafikiri umri wenu ni dhahabu aisee.

Acheni hiyo tabia mara moja nyie wanawake wote mnaoendekeza tabia ya kuficha miaka yenu halisi.

Karibuni kwa michango.
Naomba Usahihishe kichwa cha Uzi huu... Wanawawek Hawapendi au Wanawake Hapendi... Huyo Uliyenaye au Wote kwa ujumla?
 
sab

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
5,725
2,000
Wanapenda ujana, mwanamke mwenye miaka 25 uwezo wake ki changamoto za maisha nikama mtu mwenye miak 35, sasa akikwambia ana 35 ujue kabisa hapo mpera mpera wake niwa miaka 45,

Hivyo wanapunguza kupata uwiwano wa kimahesabu
 
joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
3,809
2,000
Naomba Usahihishe kichwa cha Uzi huu... Wanawawek Hawapendi au Wanawake Hapendi... Huyo Uliyenaye au Wote kwa ujumla?
Thanks Mkuu,

Nilimaanisha wanawake hawapendi sema ni slip of the smartphone. Hivyo Mods watarekebisha wakiona kama kuna umhimu wa kufanya hivyo.

Wanawake wengi ni waongo sana likija swala la umri Mkuu.
 
joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
3,809
2,000
Wanapenda ujana, mwanamke mwenye miaka 25 uwezo wake ki changamoto za maisha nikama mtu mwenye miak 35, sasa akikwambia ana 35 ujue kabisa hapo mpera mpera wake niwa miaka 45,

Hivyo wanapunguza kupata uwiwano wa kimahesabu
Ujana ungekuwa unauzwa muuzaji angepata faida sana.
 
tiztizo

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
288
250
Inategemea mtu na mtu bwana, wengi wetu unakuta hakuna cha maana tulichofanya na umri ndio huo umeshatutupa mkono so hatuna budi kudanganya ili tusionekane vilaza
kazi kuzarau vijana wenzako wanaokutongoza unakataa kisa ela
unakuta unagawa uroda kwa vibabu umri ukishakutupa mkono ndo mnaanza kuwa michepuko kwetu sisi mliotukataaga ..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom