Unachati naye anajibu "K" au "Aya"

Unachati naye anajibu "K" au "Aya"

shadownet

Senior Member
Joined
Aug 4, 2015
Posts
133
Reaction score
678
Hivi hili neno "k" na "aya"mbona linapendwa sana kutumika hasa na baadhi ya wadada kwenye kuchati, tena kifupi sana...!!?
Unakuta bint unamtext sms yeye kujibu ni neno "k" au "aya"
Sometime neno hilo me nahisi huwa linawakera wengi tu ila wanashindwa kuwafungukia hao wanaowajibu hivyo...
 
Idiots have their own language
Xaxa=sasa
Sf=sf
Hm=home
My=tako gumu
Ni lugha za mashoga na machangudoa
 
Kwa hayo maandishi, mihua nakausha tu.
Then mwisho wasiku akiuliza kwanini sijibu msg zake.... Hapo hua natoa jibu moja tu, kwamba sijaziona....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
safi sana nitaifanya pia
 
Hakuna kitu kinachoboa kama k p yes, no, so
 
Back
Top Bottom