Mama yangu kiukweli toka nikiwa mdogo alikuwa anaonesha mapenzi makubwa sana kwangu na dada na wadogo zangu. Ingawa ilikuwa ngumu kubaini nani anapendwa sana ktk familia ya watu 5 wa kike 3 wa...
Salaam kwenu bhandugu,
Wiki hii katika zunguka yangu nikakutana na mchepuko wangu wa zamani ukiwa nao katika safari zake, tukasalimiana nikaona kwa kuwa jua ni kali basi tupate kinywaji kupoza...
Eneo hili linahusika sana....
Wataalamu nchini Ufaransa wamesema kwamba, hatimaye wamebaini, sehemu ya ubongo inayowapeleka watu puta wanapompenda mtu kimapenzi na kuwa kama vichaa. Wamesema eneo...
Nimepitia Uzi kadhaa humu kwenye jukwaa ila nadhani kuna kitu kinakosewa na wanaotangaza kutafuta wachumba au wenzi humu. Mtu anatoa vigezo vya anayemhitaji ila anasahau kuwa genuine characters ni...
Hivi hili neno "niambie" mbona linapendwa sana kutumika hasa na wadada kwenye kuchati, tena kifupi sana...!!?
Unakuta bint anakutext au unamtext sms ya pili yeye kujibu ni neno "niambie"
Sometime...
Nimekutana na hii familia Ina binti ambae amehitimu chuo na shahada ya sheria lakini ameamua kutofanya kazi ya kuajiriwa, binti huyu amefanya kuwa kahaba na familia yake wanampa kila support...
Ndugu zangu,
Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa...
Naomba nianze na Historia fupi kidogo Mwaka 2016 nilikuwa likizo kijijini kwetu nilifahamiana na binti mmoja huko mtoto wa Mwalimu sasa huyu binti alikubali kuwa Mpenzi wangu alionesha kunipenda...
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu.
-Mimi ni kijana wa kiume, mwajiriwa private sector, sijawahi oa wala kuwa na mtoto, umefika mda nimeamua niwe na mwenza atakayekuja...
Habari za wana jf.
Nimekua na maoni kadhaa kuhusu dada zetu kuhusu swala la wao kutoaminika kwa sababu ya jinsia yao unajua katika jamii nyingi duniani mwanamke ndie hutongozwa Kwa maana hiyo...
Nimeona sehemu hiki kisa kuna mtu kaandika ni fundisho kwa wapenda michepuko hasa wanaume
*Funzo kwa wenye michepuko* [emoji116][emoji116]
Kabla mahusiano yao hayajakolea
jamaa akamkalisha...
inaonekana Dada anashauriana na make wake mambo ya familia halaf anakuja kutoa ushaur ambao kimsingi unaonekana umetokea kwa Mme wake.ivi wadau jambo hill nyie mnalionaje??
Dear brothers uzuri wa mwanamke huisha na kupungua ila pambo la mwanamke bora ambalo ni akili yake ,adabu yake ,hekima, busara na upendo wa dhati toka kwenye kilindi cha moyo wake mwanamke bora...
Wakuu Walaama jukwaani,
Ni hivi mara nyingi kwenye jamii yetu haya mambo ni taboo ila sio vibaya kuyasemea kwa faida ya jamii yenyewe ile ile.
Sio siri sasa hivi mashoga ama bwax wametapakaa...
Rafiki later wife anahitajika
Awe mkristo, umri 22-26!!
Elimu astashahada-stashahada.
Awe muajiriwa au amejisjir.
Asiwe mnene au Mwembamba saizi Ya Kati.. Rangi YA maji YA kunde.. Urefu...
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana wa mjini Dar slaam boy miaka nakaribia early 30 na experience ya kula papuch tofauti tofauti, mwaka Jana nikaona nitulie baada ya kushauliwa na bi mkubwa...
Amani iwe nanyi wadau,
Kuna uzi ulikuwa unaongelea jinsi gani magroup ya WhatsApp na mitandao mingine yanatumika vibaya kwa wanawake kufundishana tabia mbaya. Huu ni ukweli usiyopingika kuwa...
Habarini za leo wakuu.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja juu hili jina wanalotumia wanawake waliiolewa siku hizi (wa kidigitali).
Imezuka tabia ya wanawake walioko kwenye ndoa wakati wa...
Kama Samson angeishi Dunia ya Sasa kwa ajili ya Delila angejinyoa nywele mwenyewe hakya nani....
=============================================
nimekuwa nikisoma mara kadhaa habari ya samson na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.