Nampenda msichana flani ila ana boyfriend

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
15,433
25,848
Labdaa kama anajua unamjua Boyfriend wakee au may b kaona huna Za kumhongaa hivii..!! Ilaa hawajui kukataa haooo hasa kama mlango ushabomolewaaa
 
Kunguru wa Manzese

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
9,253
11,677
unatakiwa ufanye mambo makuu matatu ili uweza kumpata jambo LA kwanza we mpe pesa jambo la pili mpe pesa latatu we endelea kumpa pesa
 
callmeGhost

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
277
801
Wakuu kuna mschana nimemfia sana baada ya kukutana naye tour flan hivi za kitaaluma but ana boyfriend wake Nifanyeje kumuingia japo ajue pendo langu.
Buffalo44 nakuelewa sana. Been there, ushauri wangu, kuna wazuri zaidi yake. For now unaona huyo ndio mkali, but find another one. If not let's move on to step numero Un.

Kuwa rafiki yake wa karibu, itakuuma but ujue hii vita inauma. Be friends with the boyfriend too. Hapa namaanisha kuwa best friend wa huyo Dada. Kumbuka girls are emotional, ukifikia stage akawa anakuambia matatizo yake, you are golden but usiendekeze sana. Atakuona kama mtu wakuegamia tu.

Numero Deux

Usimponde boyfriend wake hata siku moja. Wewe ukiwa nae akawa analalamika mara Ghost kafanya hivi mara hajanipa hela. Wewe muambie he will come around. At the same time be close to her, give her what Ghost can't.

Numero trois

Treat her like your girlfriend. Mfanyie yote yale ambayo ungemfanyia girlfriend wako. But never say 'I love you'.

Numero quatre

Be unpredictable. Leo kunywa coca, kesho kunywa fanta. Asijuie kinywaji chako. Be adventurous... Usimwambie unajua kucheza, toka nae, Bodaboda ikipita take the stage, move with the beat. Atakuwa surprised. Usimwambie unajua kuchora, mchore. Atakuwa more interested in you.

Numero cinq

Don't do this maana hii vita ya Triangle love haimuachi mtu salama. Kama mke wa mtu sumu, girlfriend wa mtu ni cancer.

Conclusion
Goodluck

-callmeGhost
 
buffalo44

JF-Expert Member
May 8, 2016
2,339
3,482

Hahahaha Unaakili za ajabu mkuu Nataka rafiki kama wewe Vip upo? kuhusu kumfanyia hayo ni mtihani kwangu mkuu anyway ntajitahidi Mkuu.
Zaidi ya yote nimestaajabu jibu lako ningependa uwe rafiki yangu maana wote nilionao huku ni wa kukatisha tamaaa tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom