Naitwa Richard age 27yrs naishi Dar maeneo ya Tabata, natafuta mwanamke mwenye sifa za kuwa kuja mke na mama wa familia awe mkazi wa Dar es Salaam.
-Dini yeyote
-Elimu yeyote
-Umri usizidi 26...
Wakuu, poleni na hongereni na majukumu ya kila siku.
Nimepata kisa cha ajabu sana.
Nina mwanamke ambaye nilimkuta tayari ana mtoto wa mwanaume mwingine, niliridhika nae na kuishi vizuri na mtoto...
Hii imetokea kwa kijana mwenzetu,
Alimchumbia binti akapeleka posa kisha mahari. Taratibu za ndoa zikaanza kwa pande zote mbili, yaani upande wa bwana harusi na bi harusi.
Siku ya siku ikafika...
Hallo..
Heshima kwenu kwa kulea wanawenu bila babazao kujali, nampongeza mama yangu kwa ujasiri aliokuwa ameupata wa kunilea hadi hapa nilipofikia yaani daah. Nikiiona humu wanavyopewa majina...
Habari wanajukwaa
Miaka miwili iliyo pita nilibahatika kuanzisha mahusiano na dada mmoja ambae anafanya kazi moja ya benki hapa dar.
Hapo mwanzo mahusiano yetu yalikuwa ya kawaida sana ila siku...
Kwa wanaume ni kawaida au tuseme imezoeleka tu kawaida kukuta huyu ana mapengo, huyu ana meno ngiri, huyu ana meno ya njano sanaa, huyu meno yake yamearibiwa na wadudu, na vyote hivi jamii...
baada ya likizo ndefu ya kumaliza "mfungo" nlifanikiwa kupata wasaa wa kukaa na ndugu jamaa na marafiki. nina jamaa yangu ambaye naye nimemshauri kuwa ajiunge JF maana wakati flani anakuwa na...
Just thinking with my rough mind and realized this..
Mahusiano yetu vijana siku hizi ni ya ajabu sana, leo tuko pamoja baada ya mwezi tumebwagana,, tatizo ni kwamba hisia zetu zinafanya...
Swali: Kama kungekuwepo na sikukuu maalum kila mwaka ambayo wapenzi mke na mume wangeruhusiwa kuamua ama kubadilisha au kuendelea na wapenzi wao ni nani zaidi kati ya wanaume na wanawake ambao...
KUACHANA NA MPENZI WAKO AU MCHUMBA
Kuvunjika kwa uhusiano au kusalitiana baina ya wapendanao kimekuwa kitu cha kawaida sana siku hizi. Angalabu zaid ya asilimia 95% ya vijana wamekumbwa au...
Imebainika kwamba nyoka dume na jike wafanyapo mapenzi jike huishia kumla dume anapomaliza kumshughulikia.Na pia nyoka jike ni kicheche na bado hutafuta dume ambalo ni strong character ili kufanya...
Mtu unapanga kwenda kumtambulisha mchumba wako kwa wazazi wa upande wa kiume alafu miezi mitatu nyuma unamkuta na michepuko utaenda kumtambulisha au utaacha?
Karibuni kwa hoja wakuu wangu
Salam wanaMMU
Ni binti mzuri, anayejiheshimu, very natural, na nataka kumpa usajili wa kudumu ili badae aje kuwa wife. Changamoto ni kwamba huyu malkia wangu yupo kidigitali zaidi, amekeketwa...
Heloooo!
According to me I think men need
1.Comfortability
2.Refreshment
3.Stress free
Men add more needs you expect from women
Women need
1. Security
2.caring
3.Respect
Women...
wadau habari zenu?
naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa hakika mapenzi yanauma jamani omba yasikukute!
mchumba wangu amekua akinificha ficha juu ya hili lakini nimetumia maarifa yangu na...
Siku za karibuni zimeshuhudiwa mada takribani zaidi ya tano zote zikilenga walioachwa na wapenzi wao, nikimanisha wanaoitwa ma "x", ukijaribu kufuatilia kila maoni na shuhuda unaona wazi...
salaam
wazazi wetu wanapenda sana vijana tuoe na wadada waolewe lakin mahali imekuwa kikwazo maana imebadilika kutoka zawadi mpaka biashara.
uchumi wenyewe shida alafu watoto wenu ndo tunaenda...
Ebhana niaje?
Kama kawa kama dawa Na makamuzi yanaendelea manake naona kila chocho kumejaa nyomi za watu wanashangweka sikukuu ya Eid,
anyway sio kesi ila kilipofikia kipindi hiki cha sikukuu...
Habari wana MMU?
Leo tuangalie baadhi ya mahitaji ya Mwanamme kutoka kwa mke/mpenzi wake.
1. Anahitaji kutoshelezwa ktk tendo la ndoa, (kushiba), kama unatumia sex kama adhabu na unavigezo na...
Heshima mwenu wakuu,
Story ipo hivi kuna dada mmoja tunaishi nae nyumba mmoja kaolewa kwa ndoa kabisa na wana mtoto wa kike wa miaka miwili.
Huyu dada alichokifanya alienda kwao akaja na mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.