wazazi hizi smartphon kwa watoto zitawaponza

Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
4,997
2,000
EID MUBARAQ
wazazi mnao wapa watoto smartphon makubwa km laptop eti ndo zawadi ya kufaulu darasa oa saba amini nawaambieni mmepotoka watoto wenu kutwa wanaangalia porn nakuja kufanyia majaribio kwa wadogo zao humo ndani ya familia hasa mkiwa jinsia tofauti ikiwezekana wanafanyana na housgrl au housboy hadi tigo mwanao anapigwa bila wew kujua kumbe mtoto anatest kama anavoyaonaga kwenye porn.

leo mtoto anamuuliza mama yake mbona mama wewe huku nyuma kanga inafyantaga haraka kila ukinama kuosha vyombo mama haelewi sikuingine anamuuliza akiona kimya mtoto anasema au huku nyuma kuna tobo kubwa na wrwe? mbele ya kadamnasi hadi nimeona aibu ikabidi nihudhulie nilichoitiwa.

ukweli nyinyi wazazi wakiTanzania waleeni watoto kitanzania nasio kiulaya hayamambo ya utandawazi yana affect kubwa sana.
umelelewa huijui simu mpaka ulipofika college kwanini usimuongoze mtoto wako ivo?

pili wazazi mnajisikiaje mtoti wa sekondari anamsalimia mzazi mwenzio salamuhii "habari za mchana" hivi mnajisikiaje kuwanyoosha hao watoto tabia hizo hamuwezi au?
huwa najiuliza mnashindwa kuwakanya watoto huenda waliwahi kuwafumania au nao watoto wameshafanya mapenzi na watu wazima kiasi kwamba wanaxarau na kuona poa tu kumsalimia mtu mzima salamu ya dharau?.
nashindwa kuwaelewa wazazi wenye malezi ya hivo mtoto akiwa na tabia mbovu au ukimuendekeza tabia za ajabuajabu mtatutia aibu mbeleni kwa Taifa la kesho.

*****Eid njema*******
 
Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
4,997
2,000
Watoto wanaogegedwa na mtu wa makamo unafikiri heshima itakuwepo hapo
aseeeee kuna mda natamanigi ningekuwa nalea km kituo hivi niwabonde mpaka washike adabu.

hapa saivinimetoka kusalimiwa na mtoto wa 2001 ananiamkia habari namjibu hujamboooo eti poa tu shwariii? jamaniii nimetamani kumrukia kichwa chake ila tu yote kwa yote malezi ya wazazi.
 
callmeGhost

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
277
1,000

Ahhhhh imenitouch maana nilinunuliwa simu nikiwa na 10 years.
Back to you... Naona kuna point mbili tu; ya simu na kusalimia.

Kuhusu simu:
Ni malezi tu, mimi toka miaka hiyo 10 mpaka Leo hii nilikuja kuona porn tukiwa trip Fulani hivi Iringa na wenzangu. Hapo nikiwa 13. Wenzangu wote walikuwa na simu pamoja na laptop. Ila mtoto mmoja ndio aliokuwa anaangalia. Basi mimi ilikuwa nikipita chumbani kwao, nakuta anacheki. Sikushangaa wala nini na I knew what was going on. It didn't affect me. Why? Kwasababu we were taught about this mapema.
Ubongo wa binadamu upo curious muda wote. Hata wewe ukiambiwa usifungue hili box, kitu kitakusukuma kufungua. Luckily I went to a good school. Darasa la sita science ina topic nzima kuhusu reproduction and very detailed. Alafu tulikuwa na sex education. Huyu aliekuwa anaangalia porn tulikuja kugundua anabanwa na wazazi wake, and so he was curious tu watch the things.

Nikujibu straight, kuna watu walizipata hizi simu wakiwa college na wanaangalia porn sana tu. Mwalimu wangu wa form 6 alituambia mkiwa mnawafundisha hata watoto wadogo body parts msisahau kumtajia penis. If you don't he/she will find out the harder way. Its nature, don't fight it.

Kuhusu kusalimia 'Shikamoo':
Wachina hawajawahi kuadobt culture za western, ila waafrica tunaongoza.
Nina imani haya ni malezi tu. Mimi nasalimia kila mtu, na nikuambie ukweli, 6/10 yao hawajibu. . Kuna Dada mmoja nilimpa salamu akaniambia namzeesha, yeye sio mkubwa. Je, unategemea siku nyingine nikikutana na mtu lika yake nitamsalimia??? No. Kuhusu salamu ninaona ni malezi tu. Mimi hata nikienda dukani, nasema naomba kitu fulani, akinipa nasema asante. Watu wananiambia sisi watanzania wapole sana, hela umetoa wewe unasema 'naomba' na unatoa asante. Ambacho hawajui ni kwamba hizi ni tabia za mama yangu.

Conclusion:
Msiwanyime watoto electronics. Everything has a bad side. Nikuulize kwanini una gari? Wakati unaweza kulitumia kufanya uhalifu? You see. Its up to you, umemleaje. Kama unaona she/he is matured enough, don't ruin the opportunity. Nilinunuliwa simu nikiwa na miaka kumi, nikanunuliwa computer nikiwa na miaka kumi na moja. I SAY THIS WITH CONFIDENCE 'I CAN COMPETE WITH ANYONE IN COMPUTER'. Why? I have a strong background. Its 2017 not 1968.

-callmeGhost
 
Roger Sterling

JF-Expert Member
May 10, 2015
12,320
2,000
aseeeee kuna mda natamanigi ningekuwa nalea km kituo hivi niwabonde mpaka washike adabu.

hapa saivinimetoka kusalimiwa na mtoto wa 2001 ananiamkia habari namjibu hujamboooo eti poa tu shwariii? jamaniii nimetamani kumrukia kichwa chake ila tu yote kwa yote malezi ya wazazi.

You too, relax. Kunywa maji, lala kidogo upumzike halafu urudi ukishatulia. Umekechi bila sababu za msingi.
 
Sakayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
56,441
2,000
Hapa tulipofikia ni pabaya na tuendako ni pabovu zaidi.... Wazazi wamechangia kwa kiasi kikubwa watoto kukosa nidhamu kwa wakubwa zao..

Wazazi mavazi wanayovaa ni aibu mbele za watoto, maongezi yao hayana maadili, wazazi hao hao wanawapa watoto simu zao pengine kuna picha au video zisizofaa yaaani tabu tupu....

Wazazi na walezi pamoja na jamii inabidi tubadilike sasa ili kuokoa kizazi kijacho...
 
Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
4,997
2,000
Ahhhhh imenitouch maana nilinunuliwa simu nikiwa na 10 years.
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png

Back to you... Naona kuna point mbili tu; ya simu na kusalimia.

Kuhusu simu:
Ni malezi tu, mimi toka miaka hiyo 10 mpaka Leo hii nilikuja kuona porn tukiwa trip Fulani hivi Iringa na wenzangu. Hapo nikiwa 13. Wenzangu wote walikuwa na simu pamoja na laptop. Ila mtoto mmoja ndio aliokuwa anaangalia. Basi mimi ilikuwa nikipita chumbani kwao, nakuta anacheki. Sikushangaa wala nini na I knew what was going on. It didn't affect me. Why? Kwasababu we were taught about this mapema.
Ubongo wa binadamu upo curious muda wote. Hata wewe ukiambiwa usifungue hili box, kitu kitakusukuma kufungua. Luckily I went to a good school. Darasa la sita science ina topic nzima kuhusu reproduction and very detailed. Alafu tulikuwa na sex education. Huyu aliekuwa anaangalia porn tulikuja kugundua anabanwa na wazazi wake, and so he was curious tu watch the things.

Nikujibu straight, kuna watu walizipata hizi simu wakiwa college na wanaangalia porn sana tu. Mwalimu wangu wa form 6 alituambia mkiwa mnawafundisha hata watoto wadogo body parts msisahau kumtajia penis. If you don't he/she will find out the harder way. Its nature, don't fight it.

Kuhusu kusalimia 'Shikamoo':
Wachina hawajawahi kuadobt culture za western, ila waafrica tunaongoza.
Nina imani haya ni malezi tu. Mimi nasalimia kila mtu, na nikuambie ukweli, 6/10 yao hawajibu.
emoji3.png
. Kuna Dada mmoja nilimpa salamu akaniambia namzeesha, yeye sio mkubwa. Je, unategemea siku nyingine nikikutana na mtu lika yake nitamsalimia??? No. Kuhusu salamu ninaona ni malezi tu. Mimi hata nikienda dukani, nasema naomba kitu fulani, akinipa nasema asante. Watu wananiambia sisi watanzania wapole sana, hela umetoa wewe unasema 'naomba' na unatoa asante. Ambacho hawajui ni kwamba hizi ni tabia za mama yangu.

Conclusion:
Msiwanyime watoto electronics. Everything has a bad side. Nikuulize kwanini una gari? Wakati unaweza kulitumia kufanya uhalifu? You see. Its up to you, umemleaje. Kama unaona she/he is matured enough, don't ruin the opportunity. Nilinunuliwa simu nikiwa na miaka kumi, nikanunuliwa computer nikiwa na miaka kumi na moja. I SAY THIS WITH CONFIDENCE 'I CAN COMPETE WITH ANYONE IN COMPUTER'. Why? I have a strong background. Its 2017 not 1968.
emoji3.png

mkuu huyo mwl unamfatilia wa nini wakati keshajitengenezea pesa yake hata mzazi wako anaweza coz washapita milima na mabonde wanaelewa sasa wew unaetegemea ugali wa baba unahangaika nini kumchunguza mwl.

hapa najua kunakujitetea sana ilahili nimelielekezea kwa wazazi so km unaona ntakukoseshea smartphon ukihitimu form four wala sipo ivo.

ila hao uliokuwa unawaona wanachabo porn na ushoga huanziaga hapo.
-callmeGhost
 
Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
4,997
2,000
Hapa tulipofikia ni pabaya na tuendako ni pabovu zaidi.... Wazazi wamechangia kwa kiasi kikubwa watoto kukosa nidhamu kwa wakubwa zao..

Wazazi mavazi wanayovaa ni aibu mbele za watoto, maongezi yao hayana maadili, wazazi hao hao wanawapa watoto simu zao pengine kuna picha au video zisizofaa yaaani tabu tupu....

Wazazi na walezi pamoja na jamii inabidi tubadilike sasa ili kuokoa kizazi kijacho...
ni aibu sana
 
Mkomavu

JF-Expert Member
Jan 25, 2016
10,562
2,000
aseeeee kuna mda natamanigi ningekuwa nalea km kituo hivi niwabonde mpaka washike adabu.

hapa saivinimetoka kusalimiwa na mtoto wa 2001 ananiamkia habari namjibu hujamboooo eti poa tu shwariii? jamaniii nimetamani kumrukia kichwa chake ila tu yote kwa yote malezi ya wazazi.
Mhhhh,,,,,sio kwa hasira hizo counseling ndio mpango mzima sasa hivi ulimwengu umebadilika upo kidigital zaidi
 
Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
4,997
2,000
Ahhhhh imenitouch maana nilinunuliwa simu nikiwa na 10 years.
Back to you... Naona kuna point mbili tu; ya simu na kusalimia.

Kuhusu simu:
Ni malezi tu, mimi toka miaka hiyo 10 mpaka Leo hii nilikuja kuona porn tukiwa trip Fulani hivi Iringa na wenzangu. Hapo nikiwa 13. Wenzangu wote walikuwa na simu pamoja na laptop. Ila mtoto mmoja ndio aliokuwa anaangalia. Basi mimi ilikuwa nikipita chumbani kwao, nakuta anacheki. Sikushangaa wala nini na I knew what was going on. It didn't affect me. Why? Kwasababu we were taught about this mapema.
Ubongo wa binadamu upo curious muda wote. Hata wewe ukiambiwa usifungue hili box, kitu kitakusukuma kufungua. Luckily I went to a good school. Darasa la sita science ina topic nzima kuhusu reproduction and very detailed. Alafu tulikuwa na sex education. Huyu aliekuwa anaangalia porn tulikuja kugundua anabanwa na wazazi wake, and so he was curious tu watch the things.

Nikujibu straight, kuna watu walizipata hizi simu wakiwa college na wanaangalia porn sana tu. Mwalimu wangu wa form 6 alituambia mkiwa mnawafundisha hata watoto wadogo body parts msisahau kumtajia penis. If you don't he/she will find out the harder way. Its nature, don't fight it.

Kuhusu kusalimia 'Shikamoo':
Wachina hawajawahi kuadobt culture za western, ila waafrica tunaongoza.
Nina imani haya ni malezi tu. Mimi nasalimia kila mtu, na nikuambie ukweli, 6/10 yao hawajibu. . Kuna Dada mmoja nilimpa salamu akaniambia namzeesha, yeye sio mkubwa. Je, unategemea siku nyingine nikikutana na mtu lika yake nitamsalimia??? No. Kuhusu salamu ninaona ni malezi tu. Mimi hata nikienda dukani, nasema naomba kitu fulani, akinipa nasema asante. Watu wananiambia sisi watanzania wapole sana, hela umetoa wewe unasema 'naomba' na unatoa asante. Ambacho hawajui ni kwamba hizi ni tabia za mama yangu.

Conclusion:
Msiwanyime watoto electronics. Everything has a bad side. Nikuulize kwanini una gari? Wakati unaweza kulitumia kufanya uhalifu? You see. Its up to you, umemleaje. Kama unaona she/he is matured enough, don't ruin the opportunity. Nilinunuliwa simu nikiwa na miaka kumi, nikanunuliwa computer nikiwa na miaka kumi na moja. I SAY THIS WITH CONFIDENCE 'I CAN COMPETE WITH ANYONE IN COMPUTER'. Why? I have a strong background. Its 2017 not 1968.

-callmeGhost
fungua quote ya kwanza uelewe
 
Sonia G

JF-Expert Member
Jul 13, 2014
2,912

Point
 
Markomx

JF-Expert Member
Apr 23, 2016
702
1,000
Juzi nilikua nakuzingua katoto ka form 3 asee wanajua meng sana ya ngono

Yaani huwezi tofautisha binti wa miaka 13 na mdada wa miaka 30

Hizi simu kwa watoto ni kuwapiga marufuku kabisa
 
Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
4,997
2,000
Juzi nilikua nakuzingua katoto ka form 3 asee wanajua meng sana ya ngono

Yaani huwezi tofautisha binti wa miaka 13 na mdada wa miaka 30

Hizi simu kwa watoto ni kuwapiga marufuku kabisa
mkuu yaani watoto hao ni balaa nimejionea mengi wana mambo makubwaaa mengine hata sijawahi yasikia yaani wakianza kupigaa stori hadi unasikia moyo unalipuka kwa makubwa waliyo nayo.
 
Mkomavu

JF-Expert Member
Jan 25, 2016
10,562
2,000
mkuu yaani watoto hao ni balaa nimejionea mengi wana mambo makubwaaa mengine hata sijawahi yasikia yaani wakianza kupigaa stori hadi unasikia moyo unalipuka kwa makubwa waliyo nayo.
Ni kweli hata mimi nililishuhudia hilo mtoto wa uncle wangu aliposhika simu yangu cha kutafuta ilikuwa hizo video na hakuzipata ilibidi aniulze nikwambia sina
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom