Nimekutana na neno 'Kojo' mitandaoni, lina maana gani?

Aisee naona wanapongezana and wanafanya siri
Sasa huo mkojo unakua wa nani au wao wenyewe? wana moyoooo mie kuuona staki seuze kuunywa yakkkk,
nadhani nikuto kujiamini coz huwezi kunywa mkojo kama akili zako timamu, kwa wakati huu wataku mpaka kinyesi
waume pesa hawana na hawataki kukubali, hapo nadhani main issue in cash...
 
Hii hatari. Kina dada vaeni vizuri, acha kugawa tamu, kuwa na heshima. Ukifanya hayo lazima utaolewa tu.
 
Back
Top Bottom