Sikukuu ya Eid ishapita, mbona hampokei cm?

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,683
2,000
Wiki moja kabla ya sikukuu, nilikua najisikia raha kupokea na kusikia simu za mademu, na kujiona ninakubalika saaana..
Lakini japokua ilikua burudani, sikupenda kile kilichokua kikizungumzwa Kwakua matatizo na story zao zilikua zile zile,......
Nilikua busy sana, so sikupata mda wa kupeana kampan kwa wakati huo na swaum ilikua kali....
Sasa baada ya pilika pilika za sikukuu hii ya Eid, nimeamua kukaa chini na kuamua kuzipitia zile namba moja hadi nyingine, ili tuone namna ya kuwasiliana na kushughulikia zile story zetu.....
Ni ajabu sasa, zile namba kila ninayoipigia haipokelewi, na baadhi nakutana na maneno makali....
Je! Yale mawasiliano yalikua ya muda na mpito?
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
43,844
2,000
Duuh itakuwa walichokuwa wanatafuta wamekipata kama sio hivyo, yale mawasiliano yalikuwa ya muda na mpito
 
super mimi

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
202
250
Wiki moja kabla ya sikukuu, nilikua najisikia raha kupokea na kusikia simu za mademu, na kujiona ninakubalika saaana..
Lakini japokua ilikua burudani, sikupenda kile kilichokua kikizungumzwa Kwakua matatizo na story zao zilikua zile zile,......
Nilikua busy sana, so sikupata mda wa kupeana kampan kwa wakati huo na swaum ilikua kali....
Sasa baada ya pilika pilika za sikukuu hii ya Eid, nimeamua kukaa chini na kuamua kuzipitia zile namba moja hadi nyingine, ili tuone namna ya kuwasiliana na kushughulikia zile story zetu.....
Ni ajabu sasa, zile namba kila ninayoipigia haipokelewi, na baadhi nakutana na maneno makali....
Je! Yale mawasiliano yalikua ya muda na mpito?
Mkuu naona tupo wengi... Mm dem wangu SKU nzima Leo hajspokea na sjui kama nimetumbuliwa au lah!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom