Changamoto zilizonikuta kabla na baada ya ndoa

ndege joni

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
689
Reaction score
1,126
Habari,

Leo nimeona niweke hii hoja mezani. Kabla sijaelezea kichwa cha habari nitoe maelezo yafuatayo:-

Nimekuwa na uhusiano na wanawake tofauti kabla ya kuoa. Ilifika wakati majukumu yamebana narudi kazini kila kitu hakieleweki, nikaamua kuoa.

Kipindi nachagua wa kuoa, ilinipa shida sana kwa sababu nilikuwa na mahusiano na mabinti 4 kwa wakati mmoja. Mbaya zaidi watatu walikuwa mtaa mmoja. Hatari ilianzia nilipochagua wa kwanza ambaye ni mwalimu, sikudumu naye kwasababu alikuwa msiri sana na anapigiwa na wanaume usiku kucha. Na ilikuwa kosa la jinai kushika simu yake.

Wa pili sikudumu nae pia kwa sababu aliniotea na mmoja wa wasichana niliokuwa nao na alinikuta nae getoni kwa mshikaji tumemaliza kula ujana. huyu hakuwa na kazi.

Wa tatu lilikuwa jimama liliniteka akili, na lilinizidi miaka 11. Likawa kama mama yangu, nikitoka job linanituma kama mwanae. Mara kanunue sabuni, mara mafuta n.k. Hili sikudumu nalo pia kwa sababu kazi yangu haikutosheleza mahitaji yake, likasepa lenyewe.

Mungu si asumani, nikampata Mashallah, mtoto mkali sana. Sikuwa na mahusiano nae kabla lakini kadiri siku zilivyozidi kwenda niliona kama nilichelewa kumpata. Nikawa na uhusiano nae at the same time ninao wale wengine 4. Mapenzi yalipungua kwa wengine nikaanza kumtema mmoja baada ya mwingine. Nikabaki na wawili ambao nao walidhani nitaoa, ndipo mtihani ulipoanzia. Niliamua kuwaacha kwa nguvu nikabaki na mchumba asiyekuwa na vigezo na masharti. Nikafanikiwa.

Mtihani wenyewe ni kuwa baada ya mchakato wa kwenda kujitambulisha na mambo ya ndoa n.k. Mke akaanza kupata matatizo, tatizo lililokuwa baya zaidi ni la kutoka damu ukeni zaidi ya miezi miwili. Nilienda kila hospitali lakini naambiwa hana tatizo tunapewa dawa lakini haponi.

Baadae tukawa wazi kwa wazazi wetu, ambao wazazi wangu ni walokole. Walimwombea akapona. Kukawa na changamoto nyingine nyingi sana nyingine ni kuwa mmoja wa wale niliokuwa nao aliondoka na mimba na hakuniambia ikapewa mtu mwingine alipojifungua ikawa c&p yangu. Jamaa akakataa mtoto nikaletewa. Mambo yakawa mengi kwa kweli sitayamaliza kuyasema.

Kwa ambao hawajaoa be careful
 
Nyie wanaume huwa mnatusababishia matatizo dada zenu na wake zenu sababu ya tamaa zenu..tambueni mateso mnayowapa mabinti mmaowaita wakupoozea yanajirudia kwa dada zenu na wake zenu..kuweni makini unachomtendea dada Wa mwenzio na dada yako anatendewa
 
Wadada naona mmekuja kwakas kutoa povu lenu hahaha
 
kuoa ni nuksi kabisaa ndoa nyingi zimejaa matatizo kwakua unapata kila unachotoka kama kupikiwa,kufuliwa,kupewa mgegedo sioni umuhimu wa hiz ndoa hapa ni MWendo wa kula ujana na fake promise
 
Nyie wanaume huwa mnatusababishia matatizo dada zenu na wake zenu sababu ya tamaa zenu..tambueni mateso mnayowapa mabinti mmaowaita wakupoozea yanajirudia kwa dada zenu na wake zenu..kuweni makini unachomtendea dada Wa mwenzio na dada yako anatendewa
Ni kweli ila wanawake nao wana matatizo. Kidogo tu kuwanga.... ndo mana saivi nimeoa watatu.
 
Habari,

Leo nimeona niweke hii hoja mezani. Kabla sijaelezea kichwa cha habari nitoe maelezo yafuatayo:-

Nimekuwa na uhusiano na wanawake tofauti kabla ya kuoa. Ilifika wakati majukumu yamebana narudi kazini kila kitu hakieleweki, nikaamua kuoa.

Kipindi nachagua wa kuoa, ilinipa shida sana kwa sababu nilikuwa na mahusiano na mabinti 4 kwa wakati mmoja. Mbaya zaidi watatu walikuwa mtaa mmoja. Hatari ilianzia nilipochagua wa kwanza ambaye ni mwalimu, sikudumu naye kwasababu alikuwa msiri sana na anapigiwa na wanaume usiku kucha. Na ilikuwa kosa la jinai kushika simu yake.

Wa pili sikudumu nae pia kwa sababu aliniotea na mmoja wa wasichana niliokuwa nao na alinikuta nae getoni kwa mshikaji tumemaliza kula ujana. huyu hakuwa na kazi.

Wa tatu lilikuwa jimama liliniteka akili, na lilinizidi miaka 11. Likawa kama mama yangu, nikitoka job linanituma kama mwanae. Mara kanunue sabuni, mara mafuta n.k. Hili sikudumu nalo pia kwa sababu kazi yangu haikutosheleza mahitaji yake, likasepa lenyewe.

Mungu si asumani, nikampata Mashallah, mtoto mkali sana. Sikuwa na mahusiano nae kabla lakini kadiri siku zilivyozidi kwenda niliona kama nilichelewa kumpata. Nikawa na uhusiano nae at the same time ninao wale wengine 4. Mapenzi yalipungua kwa wengine nikaanza kumtema mmoja baada ya mwingine. Nikabaki na wawili ambao nao walidhani nitaoa, ndipo mtihani ulipoanzia. Niliamua kuwaacha kwa nguvu nikabaki na mchumba asiyekuwa na vigezo na masharti. Nikafanikiwa.

Mtihani wenyewe ni kuwa baada ya mchakato wa kwenda kujitambulisha na mambo ya ndoa n.k. Mke akaanza kupata matatizo, tatizo lililokuwa baya zaidi ni la kutoka damu ukeni zaidi ya miezi miwili. Nilienda kila hospitali lakini naambiwa hana tatizo tunapewa dawa lakini haponi.

Baadae tukawa wazi kwa wazazi wetu, ambao wazazi wangu ni walokole. Walimwombea akapona. Kukawa na changamoto nyingine nyingi sana nyingine ni kuwa mmoja wa wale niliokuwa nao aliondoka na mimba na hakuniambia ikapewa mtu mwingine alipojifungua ikawa c&p yangu. Jamaa akakataa mtoto nikaletewa. Mambo yakawa mengi kwa kweli sitayamaliza kuyasema.

Kwa ambao hawajaoa be careful

Hatimaye...... Umevuna ulichopanda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom