Naumia jamani kwa hili

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,112
2,000
Habari zenu wanajamii forum
kuna kisa niliwahi kukileta hapa cha mimi kuwa na rafiki wa kike ile yeye mambo ya mapenzi hataki kusikia maana nimejaribu mara kibao kuubadilisha urafiki yawe mahusiano lakini imegonga mwamba ......sasa yapata mwezi sasa nimekata mawasiliano naye nikiwa na maana hatusemezani hata tukikutana darasani kila mmoja anakuwa bize na mambo yake.....tatizo linakuja kwangu kwa kuwa tunasoma college moja kila nikimuona roho inaniuma sana anapokuwa anaongea na boyz wengine na ninapata unafuu pale nisipomtia machoni kwa muda lakini nikionanan naye tu roho inaniuma na kujiuliza kwanini huyu girl hataki mahusiano na mimi ila ananipendea kwenye mambo ya academic tu,,,,,nisaidieni nifanyeje hata nikionana naye roho isiume
 
Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,304
2,000
Kuumia nako ameumbiwa MWANAADAMU...Ni kama mafunzo fulani unayapitia.

Gangamara mtoto wa Kiume wewe.

Yanatukuta MAKAZINI matatizo kama hayo, na huwezi kuikimbia KAZI..!!
 
john issa

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
275
250
Ama kweli wewe unapenda tabu! Inawezekanaje ukampenda asiyekupenda, alafu inawezekanaje ukajipendekeza kwa mwanamke asiyekupenda wakati huo huo hii bidha iko nyingi sokoni ikitafuta mnunuzi .
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,417
2,000
Kwanza maliza masomo, kisha ndipo ukujage tukushauri kuhusu mapenzi/mahusiano
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Anotherperson

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
544
1,000
Hiyo ni addiction kama bangi tu
Yani unamwona mtu unaumia
Kubali ameenda na aende zake tafuta mwingine
 
emt45

JF-Expert Member
Jan 19, 2017
564
1,000
Habari zenu wanajamii forum
kuna kisa niliwahi kukileta hapa cha mimi kuwa na rafiki wa kike ile yeye mambo ya mapenzi hataki kusikia maana nimejaribu mara kibao kuubadilisha urafiki yawe mahusiano lakini imegonga mwamba ......sasa yapata mwezi sasa nimekata mawasiliano naye nikiwa na maana hatusemezani hata tukikutana darasani kila mmoja anakuwa bize na mambo yake.....tatizo linakuja kwangu kwa kuwa tunasoma college moja kila nikimuona roho inaniuma sana anapokuwa anaongea na boyz wengine na ninapata unafuu pale nisipomtia machoni kwa muda lakini nikionanan naye tu roho inaniuma na kujiuliza kwanini huyu girl hataki mahusiano na mimi ila ananipendea kwenye mambo ya academic tu,,,,,nisaidieni nifanyeje hata nikionana naye roho isiume
Usijali Jibu utalipata baada ya kumaliza masomo hapo college
 
GoPPiii.

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
1,481
2,000
Muulize sababu ya kukataa kwenda hatua nyingine ya urafiki wenu kisha Ifanyie kazi...
 
ivan don

JF-Expert Member
May 26, 2017
337
500
Habari zenu wanajamii forum
kuna kisa niliwahi kukileta hapa cha mimi kuwa na rafiki wa kike ile yeye mambo ya mapenzi hataki kusikia maana nimejaribu mara kibao kuubadilisha urafiki yawe mahusiano lakini imegonga mwamba ......sasa yapata mwezi sasa nimekata mawasiliano naye nikiwa na maana hatusemezani hata tukikutana darasani kila mmoja anakuwa bize na mambo yake.....tatizo linakuja kwangu kwa kuwa tunasoma college moja kila nikimuona roho inaniuma sana anapokuwa anaongea na boyz wengine na ninapata unafuu pale nisipomtia machoni kwa muda lakini nikionanan naye tu roho inaniuma na kujiuliza kwanini huyu girl hataki mahusiano na mimi ila ananipendea kwenye mambo ya academic tu,,,,,nisaidieni nifanyeje hata nikionana naye roho isiume
Usijali mkuu mbona hilo jambo la kawaida kutokea vyuoni, wanawake waga wana aina tofauti za wanaume wawapo chuoni

1.kuna wa kusoma nae na kumuhimiza mambo ya shule kama kumuita kudiscuss, kufanya assignment, kukaa pamoja kwenye mitihani, ila huyu mara nyingi waga hapewi penzi

2.Kuna wa kumchuna, huyu waga hajulikani sana kwa watu wengi, akiwa na shida na hela anamuambia huyu jamaa na yeye hutoa japo kishingo upande kwani msichana hataki ye ajulikane, ila jamaa waga anakamua kimya kimya siku akigoma kutoa msaada wa hela hadi kwichi kwichi

3. Alafu kuna huyu baba mwenye nyumba, huyu ndo msichana hufeel proud kuwa nae popote na hutaka watu wajue kuwa ndio mpenzi wake na ndie anapendwa, wakusoma sometimes utaambiwa leo sijiskii kusoma kumbe mwana yuko na mtoto, na yule muhongaji ataambiwa leo nashida na hela kumbe manzi anataka kwenda guest na mjanja wake

Hadi hapo ushajua we upo kundi gani, sasa uamuzi ni wako, ni wazi kuwa hupendwi kimapenzi bali ki kampani tu ya kusoma, havutiwi kimahusiano nawewe, ila nayeye pia jua anaumia kwa namna moja au ingine

ila kwakuwa wewe ndio mwanaume basi onesha uanaume wako, kula buyu tu huwezi kukubali kuwa mshika pembe alafu walaji wengine, tena utakuta ulikuwa unachekwa na marafiki zake kimya kimya kwani wanawake hupenda sana wanaume weak ili iwe story kwa mashost zake
 
Malimi Jr

JF-Expert Member
May 28, 2017
889
1,000
Cha kufanya ni kutafta msichana mwingine mzuri akusuuze kunako mtima hapo kwisha kabisa habari yake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom