Amigo.....Mwalimu wangu asante kwa kuniongezea marks na kunitetea ofisini kila nilipokuwa nakamatwa.
AmigoAmigo.....
Kwahiyo huyo unae mshukuru ndio shemeji wangu mie hapa....![]()
![]()
Basi sawa, maana bila hivyo hapa pange chimbika na huyu my waifu wako wa humu ndani....Amigo
Huyu keshaolewaga bwana.
Unamaswali mujarabu
WowSiku ya Father's day Kisura wangu alinipa fidget spinner.
Nilicheka sana.
Tamu hyoBoxer
Mwalimu wangu asante kwa kuniongezea marks na kunitetea ofisini kila nilipokuwa nakamatwa.
HahahaBasi sawa, maana bila hivyo hapa pange chimbika na huyu my waifu wako wa humu ndani....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kumbe na wewe upo huku???Wallet ya sh 50,000..ambayo iliambatana na maneno haya"Martha unanivumilia mengi nimeamua kukutunuku hii zawadi"
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us