Ndoto za kufanya mapenzi zananitesa mwenzenu

Ndoto za kufanya mapenzi zananitesa mwenzenu

HB.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
608
Reaction score
645
Kama bango linavyo jieleza..

Mwenzenu mie mara kwa mara sana naota nafanya mapenzi wanawake ninao wafahamu na hata nisio wafahamu Muda mwingine nakua najitambua kabisa kwamba hapa nafanya kitendo hiki nikiamka Asubuhi wazungu haoo Nimelowa kwa wiki naweza kuota mara 3 au 4..

Nauliza tu wadau Je hili ni tatizo au ni mabadiliko tu ya kimwili?
 
Punguza mawazo ya ngono mkuu,afu tafuta mpenzi zinazidi mwilini hizo
 
mkuu ndio upo kwenye balehe nini?

wengine hapa watakwambia una jinn mahaba
solution

tafuta mrembo hasa yule unayemuwaza kila siku awe wako uone kama utaendelea kuota.
 
Kwani hauna mwanamke wala mpenzi.Huwa inatokea pale ambapo umeweka mawazo yako kwa MTU au kama una siku nyingi bila kufanya mapenzi
 
Kama bango linavyo jieleza..

Mwenzenu mie mara kwa mara sana naota nagegeda wanawake ninao wafaham na hata nisio wafahamu Muda mwingine nakua najitambua kabisa kwamba hapa nafanya kitendo hiki nikiamka Asubuhi wazungu haoo Nimelowa kwa wiki naweza kuota mara 3 au 4..

Nauliza tu wadau Je hili ni tatizo au ni mabadiliko tu ya kimwili?
Kwa normal life naweza sema Anza kufanya mazoezi hizo ndoto zitaisha!!

Kwa upande wa imani wanaamini hiyo ni dalili na pepo wachafu!!
 
Zinzika tu na mdada unaemtamani mkuu hizo ndoto zitatokomea
 
Mi mwenyewe hii hali imewahi kunitokea tena wiki iliyopita......
 
Ndugu. Hili ni suala la kiroho.. Una demon ambaye is your spiritual wife. Sasa kuiondoa hiyo nenda kwenye kanisa linalofanya huduma za maombezi ili huyo jini mahaba akutoke. Otherwise kuna athari nyingine nyingi ambazo atakusababishia. Mpinge mapema kwa maombi na kufunga.
 
Back
Top Bottom