Waungwana wa MMU
Najua jukwaa hili lina watu wa kila namna
Sasa nimekuja kuwauliza madhara ya kiafya ya kutafuna Gomba a.k.a Mrungi/mirungi na kunusa Ugoro au kubwia Ugoro na kunywa pombe/wine...
Habari za majukumu wakubwa.. Kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu.
Leo baada ya kutoka kitandani mke wangu ameniomba kitu ambacho kimenishangaza na sikuamini kwamba angefikia hatua ya...
Siku hizi imekua ni kawaida pindi unapomtongoza mwanamke lazima kabla hajakukubalia ombi lako atapeleleza na kujua unafanya kazi gani na ofisi gani na mpaka anakukubalia ombi lako jua kabisa...
Heshima kwenu
Hata tusipoenda kula tunda hayo machache tu naridhika, Ama Kwa hakika naweza nisiwe peke yangu mwenye kupenda vilivyotajwa hapo juu
Naamini tuko wengi muno si Wazee wala Vijana...
Nahitaji msaada kuna demu nimepata namba yake kupitia rafika ila nataka apoitment naye sema nashindwa nianzie wap! Nipen nondo
Sent from my iPhone using JamiiForums
CHEZA na pesa usicheze na mwanangu! Hakimu Mwampondela (40) mkazi wa Mwakibete, Iyunga mkoani hapa amethibitisha usemi huo kwa kumpa kichapo mtoto wa jirani yake, Emanuel Mwamhoji (14) kisa...
Hii ni thread yangu maalum kwa Ajili ya hili kwasababu id yangu common itafanya watu waseme “Hata wewe”?
Lengo la thread hii ni kutaka kukutana na mwanamke mwenye sifa zifuatazo.
1. Awe muelewa...
Natafuta msichana Age 23-26 ambaye nitaweza kua nae katika mahusiano na badae ndoa niko dodoma akiwa maeneo hayo ni vizuri zaidi njoo PM tuyajenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo mwanza, nilikutana na demu toka moshi, kama kawaida mtoto wa mjini nilimtokea akatiki nikiwa na lengo LA kubomoa na kuacha, kumbe mtoto kaelewa mikito kaning'ang'ania humwambii kitu kuhusu...
Hiyo ni kauli yangu kwenda kwa binti fulani ambaye by the time alinikataa na kuniona si kitu.
Leo hii baada ya miaka mitano anakuja tena kwa speed ya rocket," eti Uno mi nakupenda for really"...
Nipo Mwanza nimejiajiri, natafuta
msichana tupunguziane ukali wa maisha umri miaka 18-24 Dini yeoyote awa anajishughulisha na chochote kitakachotuwezesha tuwe tunasaidiana katika maisha.
Mimi ni...
Kumradhi!!!!!
Siku zote huwa natamani kuwa na mwanamke/Msichana mwenye elimu ya juu Degree/PHD au msichana wa kishua,mwanamke mwenye pesa kama zote kama Mrembo wa Ben Pol.
The dreams comes true.
UKIAMBIWA kaa chonjo usifikiri kuna jambo la heri linakuja, ni hatari tupu! Onyo hili liwafikie wanaume wote kutokana na kuibuka kwa staili mpya ya wanawake ‘kuwaliza’ kwa kuwafanyia kitu mbaya...
Najua watu wengi hapa, hudanganywa katika mahusiano, hebu tuone ni jambo gani utafanya unapofumaniwa na mtu wako, USIPANIKI YACHUKULIE YA KAWAIDA SANA , JIAMINI
hapa kuna aina mbili
1...
Hivi mwanamke anaweza kurdhika katika tendo iwapo mwanaume wake ataenda mzunguko mmoja tu? (Bao moja)
#mwenye lolote...
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
" Being single will save you a thousand times more stress than being in the wrong relationship "
Shikamooni Watafiti popote pale mlipo hapa duniani!
Chanzo: Psychological Facts
Nawasilisha.
Kama mjuavyo Eboue jina lake la Utani ni Mpoki hii ni kutokana na kufanana sana na mpoki wa Tanzania, yanemkuta yafuatayo,
Naikumbuka mechi ya fainali, Klabu Bingwa Ulaya msimu wa mwaka...
Hoda muthana wa Alabama na Shamima mabinti wadogo sana waliokuwa majiunga na kikundi cha ISIS wakitokea nchi za magharibi,baada ya ISIS kuvunjika wanaomba kurudi nchini kwao ila nchi zao wamekataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.