Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za jumamosi wapendwa. Bila ya shaka sote tu wazima wa afya na walio na maradhi Mungu awaangazie warudi kwenye afya zao. Sote tunajua kuwa ukuaji wa teknolojia umeleta manufaa kwenye jamii...
1 Reactions
270 Replies
36K Views
Habari za weekend wakuu Miaka 7 iliyopita nilikutana na kaka mmoja Muheza Tanga alikuwa kikazi na mimi pia nilikuwa nipo pale kikazi. Tulikuwa marafiki sana nikajikuta nampenda sana ila yeye...
8 Reactions
441 Replies
50K Views
Mzee angekuwepo nadhani angekuwa anawacharaza bakora wao na waume zao.pumbafu kabisa.yule dada yangu mwingine ambaye amewekewa limbwata na shemeji kiasi kwamba anatomaswa tomaswa mbele yangu bila...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Hellow pple nahitaji rafiki nipo moshi kilimanjaro Napenda marafiki sana nipo bored and alone kinoma Awe moshi au arusha Note: Refer my threads ili uelewe ni vyema kumjua mtu kabla hajawa rafiki...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Siku zote MWANAMKE hawezi kumpata Mwanaume aliye mkamilifu maana tupo aina tofauti tofauti. Ukimpata Handsome_Kichwa chake ni empty. Ukimpata Genius_Yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako...
7 Reactions
22 Replies
4K Views
Ninayo furaha ya kipekee kabisa,baada ya zoezi langu kufanikiwa. Yapata mwaka mmoja sasa nimekuwa katika mahusiano na mke wa mtu,kila nikitaka kumuacha nashindwa kutokana na sababu mbali mbali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni kuuliza hili maana imetokea kwa rafiki yangu amempenda kijana alimuona kwa mara ya kwanza. Sasa ikawa anashindwa kumwambia sababu tuu ni sababu ya hofu yule mwanaume atamchukuliaje...
1 Reactions
74 Replies
11K Views
Ulikuwa na Mpenzi wako Ambaye Maneno na Vitendo vyake dhidi yako ili kuwa ni sababu ya kukufanya Uamini kuwa Ana kupenda sana " Ila baada ya safari ya muda mrefu/kiasi ya mapenzi yenu Ghafla...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kila mtu atasema lake.. Wengine watasema umeoa kikongwe... Wengine watasema umeoa mwanamke wa kiume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119].. Lakini mapenzi ni ya wawili...
12 Reactions
115 Replies
10K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu. Andika insha isiyopungua maneno kumi Beevenom Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hellow man hii kitu usiombe ikukute. Ni Jana tu nimefanikiwa kupewa namba na demu ambaye nilikuwa namvizia sana ili neweze kuapply namba yake, So kutokana na pilikapilika zangu inakuwa ngumu...
2 Reactions
58 Replies
8K Views
Wakuu, Kuna binti hapa kitaa kamaliza form 4 mwaka jana, Na bado hawajachaguliwa kwenda kidato cha tano, Kanizoeazoea kiaina ananiita "Bradha". Ni mweupe na ana mthambwanda balaaaaaah!!! Sasa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari za kitambo mabibi na mabwana, Mtaouliza mbona umepotea hivyo..!! Nipoo nimejaa tele nakusanya dolari, starehe tamu hivi acha nizitafute kwa nguvu zote. Wandugu sio kama leo ndo najua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama uliwahi kuwa na mahusiano na mwana JF yeyote yule Je mahusiano yenu yalikuwaje?Mlidumu katika mahusino??Je mliaminiana au mlikuwa mnaviziana?? CC Asprin Watu8 Vin Diesel Jiwe Linaloishi...
10 Reactions
766 Replies
39K Views
Mtu unaweza jitoa mhanga uwe unabigia magadi tu! Mtoto hana hata kichunusi! Aaaahh! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hello guys, Enyi wadada msiouza papuchi zenu barabarani, lkn kila mkitongozwa mnaanza mizinga ya vocha, nauli, saluni etc ingekuwa ni vizuri zaidi mfanye hivi; Mwanaume akikutongoza (depending...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Amini babu, kawaida tunahusisha umalaya na kabila au makazi au kazi ya mwanamke. Tunakosea sana, ni dhana potofu sana. Nina Mwanamke Mzaramo but she is Very Smart. TUBADILIKE Sent using Jamii...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Habarini Wadau, Leo nimeamua tu nieleze tukio/ uzoefu mdogo nilioupata katika uhusiano wa Mapenzi wakati nikiwa mdogo kiasi. Lakini zaidi natamani sisi kama Wanaume tuwathamini sana wanawake...
44 Reactions
65 Replies
9K Views
Kama kicha kinavyojieleza. Mimi ni mwajiliwa katika taasisi flani nilianzia kazi mkoa A na mwanzoni mwa mwaka jana nilihamishiwa mkoa B.Huko mkoa B nimekutana na mfanyakazi mwenzangu ambaye...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Wakuu Kwa wale wenye kutunza memory mwezi wa 11 niliwai toa attribute za mabinti wawili Kati ya mnyaturu niliekua naye chuoni ambaye hakutaka tuende kwao kutambulika nikaamua kujiongeza nikampata...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Back
Top Bottom