Kama hii ina ukweli wa 100% basi kuanzia leo hii ' Team Vipisi ' wana haki ya Kuringa na Kutembea Vifua mbele kwani wamesalimika

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,383
108,445
Ni kwamba ' Jarida ' moja ya masuala ya Kisayansi linalojihusisha na mambo ya Kijinsia na Mahusiano limesema kwamba wale Wanaume wenye Maumbile makubwa ya Uume ( Miboo / Mikuyege mikubwa ) hufa haraka ( huishi muda mfupi ) kulingana na wale Wenzao wenye Maumbile madogo ( Team Vipisi ) ambao Wao huishi maisha marefu mno.

Nadhani baada ya ' Wataalam ' hawa kusema na kulithibitisha hili kila Mwanaume aanze Kujiangalia Maumbile yake yalivyo na kama yanaendana na ' Utaalam ' huo ( wana Mikuyenge / Miboo mikubwa ) basi si vibaya wakaanza kuwatafuta Wanasheria ili wagawe Urithi mapema wakijiandaa Kufa huku wale ambao wakijiangalia wanajiona ni ' Team Vipisi ' basi nao waanze sasa Kusheherekea kwani watadumu mno maishani na ' Vipisi ' vyao.

Nawasilisha.
 
Geny unaonekana unapenda sana mikuyenge. Hadi unaianzishia Uzi? Umetisha sana Geny.

Jf is never boring
 
Nonsense

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Waanzilishi wa huu Mtandao walikuw na akili Kubwa sana na ndiyo maana wakaanzisha Majukwaa mbalimbali hapa Jamvini ili basi kuweza Kukidhi haja ya kila ' Member ' na bahati nzuri hata pale Mtu akiwa anaanzisha Uzi huwa hawashikii Majiwe ya FATUMA Wasomaji ( Members ) wa JamiiForums ili wausome bali huwa ni ' Utashi ' wao tu wenyewe.

Baada ya Utangulizi wangu huo naomba nimalizie kwa Kukupongeza kabisa kuwa mmoja wa ' CERTIFIED FOOLS ' uliothibitishwa kwa Kiwango cha Kimataifa kabisa.
 
You have the right to remain insane. Its not a race.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Ni kwamba ' Jarida ' moja ya masuala ya Kisayansi linalojihusisha na mambo ya Kijinsia na Mahusiano limesema kwamba wale Wanaume wenye Maumbile makubwa ya Uume ( Miboo / Mikuyege mikubwa ) hufa haraka ( huishi muda mfupi ) kulingana na wale Wenzao wenye Maumbile madogo ( Team Vipisi ) ambao Wao huishi maisha marefu mno.

Nadhani baada ya ' Wataalam ' hawa kusema na kulithibitisha hili kila Mwanaume aanze Kujiangalia Maumbile yake yalivyo na kama yanaendana na ' Utaalam ' huo ( wana Mikuyenge / Miboo mikubwa ) basi si vibaya wakaanza kuwatafuta Wanasheria ili wagawe Urithi mapema wakijiandaa Kufa huku wale ambao wakijiangalia wanajiona ni ' Team Vipisi ' basi nao waanze sasa Kusheherekea kwani watadumu mno maishani na ' Vipisi ' vyao.

Nawasilisha.

Samahani naomba kuuliza, wewe ni me au ke au shoga?
 
Kwani nikiwa na mkunyenge wangu wa uhakika na unaofanya kazi ya uhakika alafu nikapungukiwa na miaka mitatu kuna tatizo gani?

Tena hawa watafiti ni waongo kwa maana stress za kushindwa kumridhisha mke huua mapema sana!

Itakuwa asilimia 91.9% ya hao watafiti ni vibamia walikuwa wanajifariji tu

HAO WATAFITI WAPAMBANE NA HALI ZAO
 
Siyo Mkunyenge bali ni Mkuyenge tafadhali.
 
Back
Top Bottom