Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Habari wana JF,
Ninaomba mnisaidie nimejikuta siku hizi nimekuwa nina wivu sana juu ya mpenzi wangu na hata muda mwingine huwa nakuwa nawaza vibaya juu yake kama vile kuhisi ana mtu muda fulani au hata kuhisi ananisaliti hata kama si kweli na hii inapelekea nakuwa nakosa mpaka raha.
Naomba mnisaidie ni jinsi gani naweza kuepukana na hali hii ili niwe na amani hata akiwa mbali nami.