Ni bora kuwa kicheche kuliko yanayonitokea

Nilikua na mpenz wangu nampenda Sana

Before ya kumpata huyu mdada nilikua kicheche Sana Ila nafsi yangu taratbu ikawa inaona n muhimu kuacha hiyo tabia na kweli tangu nimerud nimejitahd Sana kutulia na huyu mdada ili niweze kujenga familia nae.

Ila kila nikikishika simu yake huwa nakutana na vitu ambavyo kwakwel Kama mtu ushawah kuwa kiwembe unajua tu kwamba huyu bidada anachepuka but nikawa napga moyo konde.

Sasa Jana aliniaga anaenda sehem fulan na baadae akanambia simu yake haitakuwa hewan baada ya muda fulan ikawa haipatikan mpaka asubuh ya kesho yake saa nne ndo anakuja kunitafuta, na sikumuuliza kitu nkauchuna tu kama boya iv

Sasa swali langu wandugu iv nikirud kwenye Zama zangu za ukicheche nitakua nakosa?

Hapo jua mm Ni baharia huwa naondoka miez sita had mwaka bila kuonana nae nakua melini.

Na nilishaapa niache tabia ya ukiwembe but huyu bidada naona Kama ananilazimisha nirud kwenye ubora wangu

Ndugu zangu naombeni ushauri
Kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukistuka inuka vumilia
 
Mkuu hata hili nalo la kuomba ushauri?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani amekuona "buzitata" kama jina lako Mkuu!
 
Mkuu usipoteze muda kwa wanawake cha msingi we zaa kusanya watoto wako kama kimi leo na somesha utapoteza muda na rasilimali ulizonazo
Wanawake walikuwa mama zetu hawa dawa yao ni kutafuna kesho achana nae cha msingi hakikisha unatumia condom mkuu!
 
Naomba nikupm kwa shida binafsi. Ukiniruhusu hapa ndo ntakuja.

MKUU,

UMEJARIBU KUMSHIRIKISHA PROFESA LIPUMBA UKASIKIA MCHANGO JUU YA HILI LABDA ?

TUANZIA HAPO KWANZA.

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Nilikua na mpenz wangu nampenda Sana

Before ya kumpata huyu mdada nilikua kicheche Sana Ila nafsi yangu taratbu ikawa inaona n muhimu kuacha hiyo tabia na kweli tangu nimerud nimejitahd Sana kutulia na huyu mdada ili niweze kujenga familia nae.

Ila kila nikikishika simu yake huwa nakutana na vitu ambavyo kwakwel Kama mtu ushawah kuwa kiwembe unajua tu kwamba huyu bidada anachepuka but nikawa napga moyo konde.

Sasa Jana aliniaga anaenda sehem fulan na baadae akanambia simu yake haitakuwa hewan baada ya muda fulan ikawa haipatikan mpaka asubuh ya kesho yake saa nne ndo anakuja kunitafuta, na sikumuuliza kitu nkauchuna tu kama boya iv

Sasa swali langu wandugu iv nikirud kwenye Zama zangu za ukicheche nitakua nakosa?

Hapo jua mm Ni baharia huwa naondoka miez sita had mwaka bila kuonana nae nakua melini.

Na nilishaapa niache tabia ya ukiwembe but huyu bidada naona Kama ananilazimisha nirud kwenye ubora wangu

Ndugu zangu naombeni ushauri

Rudi tuu kaka kwenye ubora wako bwana. Wee bwana miezi sita upo bahari watu wanajigegedea tuu huku wala usijipe tabu wee gegeda papuchi huko
 
Mkuu usipoteze muda kwa wanawake cha msingi we zaa kusanya watoto wako kama kimi leo na somesha utapoteza muda na rasilimali ulizonazo
Wanawake walikuwa mama zetu hawa dawa yao ni kutafuna kesho achana nae cha msingi hakikisha unatumia condom mkuu!
Duuh sasa atapataje watoto hao kumi kutumia condom?
 
Mkuu usipoteze muda kwa wanawake cha msingi we zaa kusanya watoto wako kama kimi leo na somesha utapoteza muda na rasilimali ulizonazo
Wanawake walikuwa mama zetu hawa dawa yao ni kutafuna kesho achana nae cha msingi hakikisha unatumia condom mkuu!
Sasa akitumia condom atatiaje na umemwambia azae akusanye watoto [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda simu yake ilikwisha charge! Ata kuwa na simu kimeo!
 
Back
Top Bottom