Wanawake wengi wanaficha umalaya wao kwenye kauli ya "siwezi kudate na mwanaume ambaye hana pesa"

Zero Competition

Senior Member
Sep 12, 2018
177
500
Siku hizi imekua ni kawaida pindi unapomtongoza mwanamke lazima kabla hajakukubalia ombi lako atapeleleza na kujua unafanya kazi gani na ofisi gani na mpaka anakukubalia ombi lako jua kabisa tayari kashajilizisha kwa kufanya uchunguzi.

Wanawake wengi siku hizi wako kimaslahi zaidi na wanajiuza indirect way, mapenzi kwao wameyageuza biashara na ndio mana wengi wao wanaishia kutumiwa na kuachwa.

Wengi wao ndo wale wanaosisitiza wanaume kutafuta pesa ili wawachune vizuri sababu hakuna mwanaume ambae hajui umuhimu wa kutafuta pesa hivyo ukiona mwanamke anakusisitiza sana utafute pesa na matumizi yake ni ya anasa jua moja kwa moja kwamba mwanamke ulienae anajiuza ila hakukuambia moja kwa moja wakati unamtongoza.

Hizi ni zama za ukweli na uwazi hivyo kama mwanamke unajiuza tangaza dau watu wafike bei kuliko kuwaaminisha wanaume kwamba wamepata wife material kumbe wanaopoa milupo tu ya kupiga na kutembea.
 

corasco

JF-Expert Member
Jan 17, 2016
3,565
2,000
jamani hakuna venye mtu anapenda shida yaan labda itokee tu tutavumilia lakini ikizidi n.a. hauna mkataba wa ndoa nothing bind you basi unatulia tu.upumzike n.a. shida wapambane nazo wengine hivyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
13,119
2,000
Ingawa kauli inaumiza,ila kiuhalisia ni ngumu mwanamke kumpenda mtu asiyekuwa na uwezo hata wa kununua panado.Maisha yanaitaji pesa,ili utibiwe,usome,uvae,ule vizuri pesa ni muhimu.Tutafute pesa,hakuna anayependa shida.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom