Msaada: Madhara ya Mirungi na Ugoro

Msaada: Madhara ya Mirungi na Ugoro

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,712
Reaction score
8,769
Waungwana wa MMU

Najua jukwaa hili lina watu wa kila namna

Sasa nimekuja kuwauliza madhara ya kiafya ya kutafuna Gomba a.k.a Mrungi/mirungi na kunusa Ugoro au kubwia Ugoro na kunywa pombe/wine ya Banana

Ndimi
Sigara Kali, Rombo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiuliza madhara ya kumbandua mama mwenye nyumba nitag takuja kujibu.
 
Back
Top Bottom