Maneno laini, kumbatio na kiss napenda mno

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,800
2,000
Heshima kwenu

Hata tusipoenda kula tunda hayo machache tu naridhika, Ama Kwa hakika naweza nisiwe peke yangu mwenye kupenda vilivyotajwa hapo juu

Naamini tuko wengi muno si Wazee wala Vijana, wakitendewa ama kufanyiwa hayo majambo (achana na pesa kwanza) wanajisikia burdan kabisa.

Ongezea naweweSent using Jamii Forums mobile app
 
SK2016

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
8,009
2,000
Nipe maneno matamu yoote, kumbatio la huba na kisses na kudendeka napenda saana; ila bila Kunipa Papuchi hujanitendea haki.
Heshima kwenu

Hata tusipoenda kula tunda hayo machache tu naridhika, Ama Kwa hakika naweza nisiwe peke yangu mwenye kupenda vilivyotajwa hapo juu

Naamini tuko wengi muno si Wazee wala Vijana, wakitendewa ama kufanyiwa hayo majambo (achana na pesa kwanza) wanajisikia burdan kabisa.

Ongezea naweweSent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
14,728
2,000
Talking to her, appreciating her presence in his life, wanting to know how her day was..... a tight hug and a kiss on the forehead is more than enough for many women.

Nimesema woman, sio girl. Sex gets better with age. Its quality over quantity.

Tu girls bana tuna balaa. Kwanza bila dushee almost daily mambo hayaendi. Toka kazini kula mzigo uwe umechoka ama la afu ndo kitaeleweka. Azawise utasemwa una upungufu wa nguvu za kiume. Si unaona tumeshahamia kwenye vibomba vya washroom? I wonder what next. 😆😆😆😆😆 Balimi ingine please.
 
habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,800
2,000
Talking to her, appreciating her presence in his life, wanting to know how her day was..... a tight hug and a kiss on the forehead is more than enough for many women.

Nimesema woman, sio girl. Sex gets better with age. Its quality over quantity.

Tu girls bana tuna balaa. Kwanza bila dushee almost daily mambo hayaendi. Toka kazini kula mzigo uwe umechoka ama la afu ndo kitaeleweka. Azawise utasemwa una upungufu wa nguvu za kiume. Si unaona tumeshahamia kwenye vibomba vya washroom? I wonder what next. Balimi ingine please.
Kweli Niko nyuma ya dunia

Nasikia sikia tu

Hicho kibomba ndo kinafanywaje!Sent using Jamii Forums mobile app
 
pmoses95

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
3,119
2,000
Heshima kwenu

Hata tusipoenda kula tunda hayo machache tu naridhika, Ama Kwa hakika naweza nisiwe peke yangu mwenye kupenda vilivyotajwa hapo juu

Naamini tuko wengi muno si Wazee wala Vijana, wakitendewa ama kufanyiwa hayo majambo (achana na pesa kwanza) wanajisikia burdan kabisa.

Ongezea naweweSent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha
 
mark girland

JF-Expert Member
Feb 7, 2019
1,032
2,000
Talking to her, appreciating her presence in his life, wanting to know how her day was..... a tight hug and a kiss on the forehead is more than enough for many women.

Nimesema woman, sio girl. Sex gets better with age. Its quality over quantity.

Tu girls bana tuna balaa. Kwanza bila dushee almost daily mambo hayaendi. Toka kazini kula mzigo uwe umechoka ama la afu ndo kitaeleweka. Azawise utasemwa una upungufu wa nguvu za kiume. Si unaona tumeshahamia kwenye vibomba vya washroom? I wonder what next. Balimi ingine please.
You are delusional. Money is the only thing that tickles most women pink. You may be a good kisser or even shag her well, but you would be as useful to her as a hole in the head without money.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom