Kama kichwa husika apo juu.....
Katika pita pita zangu nilikutana na dada mmoja ambae tulielewana sana.......kama tulivyo binadamu tukaanza kubadilishana mawazo ya hapa na pale.....
Ikafika...
Huyu mwanamke nilikua na mahusiano nae kwa miaka 2, nikampenda kweli huyu mtoto. Hakika ni mrembo kweli.
Baadae akaniavha mwenyewe, bila ugomvi wowote bila shida akasema hana hisia na mimi...
Week iliyopita amekufa tajiri maraarufu mzee Mengi ila nimeshangaa kuona tangu afe watu wamekuwa wakimsema vibaya sana mke wake ambae aliwahi kuwa miss tz sijui msanii sijui 🤷🤷Mimi sikuwahi...
Ndugu zangu natumai mu wazima
Nimekuwa kwenye uhusiano na binti flani, kiukweli huyu binti nimempenda mapenzi ya dhati yaani real love.
Nimekuwa nae yeye peke yake tu yani kipindi chote...
Kuna binti yuko chuo second year hapa kwa makonda, nimempenda na nikatumia njia ya kawaida / naturality kwa miezi sita bila kukata tamaa nikiwa nampima ki aina .Huyu binti kwa mwezi huo...
Kama unajua na wewe una video uliyejirekodi Kama gwajima Basi ifute kwa sababu serikalini tukiagizwa tukufanyie uchunguzi tunakagua nyumba yako,chumba chako mpaka simu yako.tunanyonya kila kitu...
habari wana jf napenda kuuliza kwa wanawake waishio na waume je hivi ni kweli huwa hamuumizwi mioyoni mwenu endapo mwanaume akawa anahudumia vyema familia yake yani...
Tusaidieni wanawake, kwanini mnapenda kutoa siri za mausiano ya kwako na mwanamme wako kwa watu ambao hawajui mausiano yenu Bali kwa kusikia.
Mara nyingi uchangia kuvunjika kwa mausiano maana Leo...
Asalam alykum
Mimi ni kijana (29) niko Arusha muajiriwa nahitaji mchumba wa kuoa.
SIFA
1. Muslim
2. Umri chini ya miaka 30
3. Unashughuri ya kukuingizia kipato
Nichek pm serious
Baba na mama baada ya kurudi safari pamoja wakakuta BARUA iko mezani SEBULENI ikisema.... "Baba na mama, ni matumaini yangu kuwa mtasoma ujumbe wangu huu kwenye karatasi niliyoiweka
juu ya meza...
Heshima zenu wana JF, wakubwa kwa wadogo. Ni matumaini yangu kuwa mko salama wote kabisa na wenye afya njema, na kama kuna mtu ambaye afya yake imeyumba kidogo basi Mola akutangulie ili uweze...
Huyu dada nlidate naye miaka kadhaa iliyopita kabla sijaoa.kipindi nadate naye kumbe nlimkuta na jamaa then akamwacha akawa nami.mi sikujua.
Baada tu ya miezi kama tisa hivi akanambia ana mimba...
Nimekuja mzee wa kuomba ushauri baada ya kunikuta huku mtaani kwetu, wiki moja sasa tangu huyu mama nimekuwa nawe kama Kiben10 wake. Sasa juzi nimekuwa nyumbani kwake kama mwalikwa ila usiku...
Wakuu Salam,
Nina marafiki zangu kadhaa walioamua kuondoka katika lililokuwa chama letu la mabachala.
Baadhi ya tabia wanazo zionesha huwezi kushangaa kwani kawaida.
Mfano kutokuhudhuria maeneo...
Sisi wanaume asilimia kubwa Ukipata mwanamke ambaye, anakuombea kwa Mungu, anakutii kama mmewe, anapendeza yupo smart havai nguo kama malaya, anajua kupika freshi.
HAKIKA UYO MWANAUME KWANZA...
Et niamwambieje ili tuachane au nifanye nini ambacho hakitaweza kufanya akachukua maamuzi ya ajabu kama kujiua maana siitaji tena mahusiano kwasasa nahis yana ninyonya damu tu siko free kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.