Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
joanah ukiwa mbabe una uwezo wa kupata kilicho ndani ya uwezo wa ubabe wako kwa nguvu yoyote ile utakayo itumia, sasa hapa kumwambia mtu kama yeye mbabe mana yake anaweza akawa na uwezo wa kupata kitu hicho kwa nguvu zozote zile azijuazo yeye na akafanikiwa licha ya kwamba anaweza pia akatumia nguvu hizo na asifanikiwe ila atakuwa amejaribu.Kuchagua hapo kunahusiana vipi na ubabe??
Ama huko kwenu neno 'mbabe' lina maana tofauti?
joanah ukiwa mbabe una uwezo wa kupata kilicho ndani ya uwezo wa ubabe wako kwa nguvu yoyote ile utakayo itumia, sasa hapa kumwambia mtu kama yeye mbabe mana yake anaweza akawa na uwezo wa kupata kitu hicho kwa nguvu zozote zile azijuazo yeye na akafanikiwa licha ya kwamba anaweza pia akatumia nguvu hizo na asifanikiwe ila atakuwa amejaribu.
MmmhWote ABCDEF
joanah nikiamua kutumia ubabe naweza nikakupata kwa nguvu yoyote ile pamoja na kwamba naweza nika feli pia 😛😀Asante Mung Chris ...nimekuelewa sana
Labda huko mjini kwao wababe wana mata core kama hayo.Who knows ?Kuchagua hapo kunahusiana vipi na ubabe??
Ama huko kwenu neno 'mbabe' lina maana tofauti?
joanah nikiamua kutumia ubabe naweza nikakupata kwa nguvu yoyote ile pamoja na kwamba naweza nika feli pia 😛😀
Labda huko mjini kwao wababe wana mata core kama hayo.Who knows ?
Nimeona aibuMmmh
Woiiii kwa nini?Nimeona aibu
Embu weka yako kwanza tuyaone kama Yana viwango....Halafu dada zetu hawachagui namba zao ili tuwajue wakoje