Kuchakuro Ps
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 443
- 525
Wakuu Salam,
Nina marafiki zangu kadhaa walioamua kuondoka katika lililokuwa chama letu la mabachala.
Baadhi ya tabia wanazo zionesha huwezi kushangaa kwani kawaida.
Mfano kutokuhudhuria maeneo mliokuwa mnatulia Mara kwa Mara nk.
Lakini maswali yanakuja pale unapomuona akipokea simu ya mke wake, baada ya mahusiano yao kuwa yamedumu kwa miezi kadhaa.
Yaani unamuona anatetema Kama vile anapokea simu ya boss katili.
Nimeona kwa Wanandoa wengi hata waliodumu kwa muda mrefu zaidi.
Hupa huwa najiiuliza,
Yanawezekanaje haya kwa mwanamke uliye muoa mwenyewe hukuletewa zawadi?