Digital Marketer
Senior Member
- May 1, 2019
- 112
- 149
Kama kichwa husika apo juu.....
Katika pita pita zangu nilikutana na dada mmoja ambae tulielewana sana.......kama tulivyo binadamu tukaanza kubadilishana mawazo ya hapa na pale.....
Ikafika mahali yule dada akatokea sana kuniami....akaomba niweze kumsaidia kimawazo kwa maswali ambayo alihitaji apewe ufafanuzi.......au mda mwingine ushauri......
Ndo tukaanzia hapo.....
Alisema alikutana na kijana mmoja mtanashati sana.....kijana yule alikua ni mzuri sana wa kuvutia.......alitokea kumpenda|walipendana.......mda mwingi wakiwa wapo Huru walitumia kutoka pamoja kiufupi walikua wakiishii maisha.....
Ila kadri siku zinavyozidi kwenda yule dada akawa na wasiwasi na yule kaka.... kwa tabia zake.....
Mfano unakuta wanaume wenzake wanampenda kweli....inafikia mda mbaka wanaomba wamtoe outing mbele ya yule dada.....
Hiyo labda aikua shida.... yule mdada alikausha.....siku wakati wametoka....kwa ushauri wa yule dada wakanywa kupitiliza.....ndipo yule dada akaanza kumliza maswali kuuhusu ushoga na alipenda kujua yule kaka angemwambia nini....
Kwa bahati yule kaka (sijui ni kwa sababu ya Kileo).... akamwambia kila kitu....anachojua kuhusu mashoga (kiukweli Mimi mwenyewe mwandishi mengine ndo niliyasikia kwa Yule dada ).
Yule kaka alimwelezea kila kitu mbaka sehemu ao mashoga wanapatikana.....na hata yeye (akajitolea mfano) angetaka apate bwana(kwa anavyosema) anajua jinsi anavaa na wale Mabwana watamfata.....na alitoa mfano wake kwamba kuna mashoga walikua wanampenda mbaka ikafikia kipindi wakawa wanamwonea wivu akiwa na watu wengine......
Wakuu kiufupi yule dada yupo njia panda....kwa sababu uyo kaka bado anaonesha kumpenda uyo dada ila tabia zake zinamfanya mdada wa watu awaze ndivyo sivyo.....
Nimeshindwa nimshauri nini......
Kwa sababu naogopa kuhukum mtu ambae sijawahi mwona.....
N.B vaeni viatu vyangu wakati wa kutoa ushauri.....