Usituhusishe wote ndugu yangu hiyo imekukuta wewe na aina ya wanawake unao wadate. Mm binafsi yangu wako wengi tu wanipendao bila kuzingatia kigezo chako hicho cha fedha. Lakini pia kama wanawake wako wote ni category ya wasio na fedha watataka nn sasa zaidi ya fedha?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.