Nataka nimuache demu wangu

Nataka nimuache demu wangu

cabo

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
4,774
Reaction score
5,312
Et niamwambieje ili tuachane au nifanye nini ambacho hakitaweza kufanya akachukua maamuzi ya ajabu kama kujiua maana siitaji tena mahusiano kwasasa nahis yana ninyonya damu tu siko free kufanya mambo mengine nataka nianze kufanya mambo ya msingi
 
Weka namba zake na picha humu ndio tutajua cha kukushaur
 
Et niamwambieje ili tuachane au nifanye nini ambacho hakitaweza kufanya akachukua maamuzi ya ajabu kama kujiua maana siitaji tena mahusiano kwasasa nahis yana ninyonya damu tu siko free kufanya mambo mengine nataka nianze kufanya mambo ya msingi
Acha ujinga ww
Tafuta pesa
 
Et niamwambieje ili tuachane au nifanye nini ambacho hakitaweza kufanya akachukua maamuzi ya ajabu kama kujiua maana siitaji tena mahusiano kwasasa nahis yana ninyonya damu tu siko free kufanya mambo mengine nataka nianze kufanya mambo ya msingi
Nipasie namba yake PM mkuu ikifika mpaka kesho kutwa hajakuacha njoo hapa nichane
 
Et niamwambieje ili tuachane au nifanye nini ambacho hakitaweza kufanya akachukua maamuzi ya ajabu kama kujiua maana siitaji tena mahusiano kwasasa nahis yana ninyonya damu tu siko free kufanya mambo mengine nataka nianze kufanya mambo ya msingi
Kwa nini usimhusishe kwenye hayo mambo? Unajuaje labda anaweza kukusupport vizuri.

Au ndio kutompenda tu.
 
Et niamwambieje ili tuachane au nifanye nini ambacho hakitaweza kufanya akachukua maamuzi ya ajabu kama kujiua maana siitaji tena mahusiano kwasasa nahis yana ninyonya damu tu siko free kufanya mambo mengine nataka nianze kufanya mambo ya msingi

Mkuu kama mahusiano uliyonayo si ya msingi kwanini uliyaanza na binti wa watu acha akugande tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom